Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

Wajua naku[emoji179][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Asante dear... Nafurahi na nafarijika kupendwa na wewe..... kwa mwanamke kuambiwa unapendwa mbele ya kadamnasi hata kama unadanganywa ni boonge ya credit. ...
Hivyo si dhambi nikisema nami nakupenda pia. ... (kumbato na mabusu motomoto kwako)
 
Asante dear... Nafurahi na nafarijika kupenda na wewe..... kwa mwanamke kuambiwa unapendwa mbele ya kadamnasi hata kama unadanganywa ni boonge ya credit. ...
Hivyo si dhambi nikisema nami nakupenda pia. ... (kumbato na mabusu motomoto kwako)
Uwiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thank you kasie, unajua vyema nakupenda hakika[emoji179]
 
Uwiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thank you kasie, unajua vyema nakupenda hakika[emoji179]

Ndo mbavu zinakupasuka na kukuvunjika hivyo..... hayaa.
 
Okee sawaa ni vyema kafurahi na kuwa na amani maana tumeagizwa kuwa na amani na watu wote.......
Furaha yako ... furaha yangu...
Hakika umenena, ukipata hata mmoja anayekufurahia kwa dhati na akakufanya ufurahi ni patamu ajabu kwani wachukizao ni wengi kuliko wanaokufurahisha. Nipe habari dadake
 
Hakika umenena, ukipata hata mmoja anayekufurahia kwa dhati na akakufanya ufurahi ni patamu ajabu kwani wachukizao ni wengi kuliko wanaokufurahisha. Nipe habari dadake
Niko poa na songa mbele nifike walikofika wakuu. ..
Habari mpya hakuna ni hizi hizi zinazotrend tuu...
 
Back
Top Bottom