Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

mkuu umenikumbusha mbali sana, siku ya kwanza kuachwa nililia balaa, nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi, ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza, ilikuwa the first time naenda nje ya africa, dah, kitu emirates kikasepa kikaniacha.

nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.

dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga
 
mama yako huko kijijini anahangaika na matope shambani alimie mahindi/mchele na mazao yafananayo na hayo ukienda kazi yako kuchukua tuvifurushi,,, hujawahi hata kumnunulia kitenge..unahangaika kuwalipia wazembe kisa uroda...

mambo kama hayo yakitokea usilie lie ni chaguo lako hilo....
 
Ukiongea vizuri na wake wadada wanakusaidia! Na wanakupeleka kula lounge km umekata business class etc.Kauli na kuwa humble ni muhimu km ndege mda wa kucheck inn umekwisha
 
Demu wangu alikua mjamzito nikamkatia tikiti ya ndege tena ya saa 9 mchana lahaulaa nilisubiri pale airport mpk saa 1 usiku mtu hafiki na simu hapatikani...
Kumbe alipitiwa na usingizi akalala home mazima...
Kina dada viazi sana....
 
mkuu umenikumbusha mbali sana, siku ya kwanza kuachwa nililia balaa, nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi, ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza, ilikuwa the first time naenda nje ya africa, dah, kitu emirates kikasepa kikaniacha.

nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.

dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga
 
Mtanzania pekee aliyevunja rekodi kuchelewesha ndege Heathrow airport London na akafidia gharama ni mustafa haidi mkulo

Haijawahi tena tokea jeuri hii ya pesa
Mkulo aliyekuwa waziri wa fweza?nimemuonaga Moro ameachoka .nadhana anaumwa!
 
Back
Top Bottom