Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

humdrum going abroad and you spent a huge amount of money on the ticket...are u joking? Kuchelewa ndege ni 99.9% uzembe labda kama ni mgeni wa foleni za Dar.

5hrs duh!! the journey must be soo humdrum
 
Kwa nchi hii hakuna cha kushangaa hapo

-mara foleni isiyo na kichwa wala miguu na trafick anaita upande autakao nusu saa!!

-mara umepitia ATM ya kwanza no network ATM ya pili kakadi kamemezwa na upo na Taxi Unadaiwa! Vi m-pesa vimefungwa na driver anataka cash

-masurufu yenyewe umeingiziwa asubuhi na bado hujatoa uache pesa ya mboga nyumbani

-ulipita benki na mama harakaharaka mkagawane chochote halafu akusindikize ile kutoka nje gari imepigwa lock na Parking System sijui YONO

Umemuachia msala wife unakwea boxer hufiki popote inadakwa na madalali sijui

Unarudi kwenye taxi mnazunguka wee mara tazara mchicha mara vingunguti mara kinyerezi mara mkamatwe service rd na ukimwambia askari shida yako huku ukimuonyesha tiketi anasema ungetaka kuwahi ungeondoka jana!! Wakati safari yenyewe umeioata asubuhi!! hadi ufike airport hoii na kadirisha kamefungwa

Labda kama unazungumzia mikoani lakini kwa Dar basi hiyo safari uwe uliipanga miezi mitatu iliyopita
 
ni uzembe...mi nikiwa najua nasafiri j5, j3 ninapack kila kitu ninachohitaji na kuweka kila kitu sawa, by j5 ni kufunga begi mapema na kuanza safari ya kwenda airport mapema..yote ni planning na crosschecking..ss mtu anasafiri j5 anapack j4 usiku kama sio uzembe ni nini, lazma kitu utasahau...kila kitu kama ni hela, passport, ticket, jinsi unavyowaacha home etc vinatakiwa kuwa planned a day before the journey..as i said, ni uzembe wa mtu
 
Hahahahahaha lol! nimecheka sana kama nakuona vile kidume ukiangusha kilio cha nguvu mpaka Airport yote isimamme.

si unajua tena mkuu ka airport ketu kalivyo kadogo hapo check in?yaani hata ukipiga chafya kila mtu anasikia.si abiria si staff walitaka kujua kulikoni
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa Dar es Salaam ukitaka uwe na uhakika wa kutokuchelewa ndege jipe masaa 2 ya kufika airport (Kabla ya reporting time) yaani kama unaondoka saa 7 mchana (check-in saa 5 asubuhi) ondoka nyumbani saa 3 kasorobo asubuhi vinginevyo ni kujipa Presha
NB; Kama una mamizigo ni bora kuchukua taxi maana Bajaj/pikipiki/baiskeli/daladala haziruhusiwi pale Airport (JNIA)
 
mkuu umenikumbusha mbali sana,siku ya kwanza kuachwa nililia balaa,nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi,ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza,ilikuwa the first time naenda nje ya africa,dah,kitu emirates kikasepa kikaniacha.nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.
dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga

nimekukumbuka mkuu wewe si ulikuwa unalia huku ukisema watanielewaje jamani nisaidieni jamani huku ukipiga piga miguu chini pole sana mwanzo mgumu
 

nimekukumbuka mkuu wewe si ulikuwa unalia huku ukisema watanielewaje jamani nisaidieni jamani huku ukipiga piga miguu chini pole sana mwanzo mgumu

dah mkuu kumbe na wewe ulikuwepo siku hiyo?ni mimi mkuu.za siku,ila nishakuwa mjanja mkuu,najua siku ile nilipita kila mji wa jirani na maskani zote nikiwaaga kuwa naenda mbele?sasa si ndo ikanibumia?ila poa tu nishakuwa mjanja.nipeleke popote duniani,sichemshi
 
dah mkuu kumbe na wewe ulikuwepo siku hiyo?ni mimi mkuu.za siku,ila nishakuwa mjanja mkuu,najua siku ile nilipita kila mji wa jirani na maskani zote nikiwaaga kuwa naenda mbele?sasa si ndo ikanibumia?ila poa tu nishakuwa mjanja.nipeleke popote duniani,sichemshi

Pole sana mkuu mwanzo mgumu kipindi kile nilikuwa nafanya kazi pale ......wenzako wengine wanazimiaga inabidi ujifunze kukabiliana na matatizo mkuu na sio kulia kwani ukilia hakubadilishi matokeo
 
mkuu umenikumbusha mbali sana,siku ya kwanza kuachwa nililia balaa,nilipiga mayowe utadhani nimefiwa na wazazi,ilibidi wale customer care staff swissport watumie muda mwingi kunituliza,ilikuwa the first time naenda nje ya africa,dah,kitu emirates kikasepa kikaniacha.nilikuwa naona soo hata kurudi home,japokuwa nilisafiri the next day.aisee,kumi na mbili kamili alfajiri nilikuwa tayari airport kwa safari ya saa kumi unusu jioni.
dah nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe.yaani airport ilisimama kwa mshangao wa kilio changu but kidume mpaka leo hii nimeshapata masomo ya kutosha kuhusu usafiri wa anga
.mkuu hudanganyi kwelii wewe?ha ha ha ha.hivi ndege ikikuacha unapanda tena kesho bila gharama zozote?nijulishe
 
Wewe abiria unajua kabisa kesho nasafiri muda fulani na ninatakiwa reporting time airport masaa 2 kabla lakini cha ajabu unajichelewesha mpaka ndege inakuacha.

Tiketi yenyewe umelipiwa ukishachelewa sasa ni kuanza usumbufu kwa aliyekulipia eti akulipie tiketi nyingine.

Not fair hasa wadada.




Muache kulipia michepuko tiketi za ndege huku wake zenu wanahangaika na mabasi kwan wanakuwa hawana machungu na hizo hela ye shida yake kukutafuna tu siku ukiikosa anakimbia, si mnataka kuonyesha ufahar lipieni hata mara tatu!
 
aisee kuna boss wangu huwa anatumia pesa za ofisi kulipia milupo ya kinyarwanda na ki-ethiopia kuja kuitafuna anasingizia ni wataalamu wa BVR mara BRN kumbe demu mwenyewe hajui hata kusoma.
 
Sasa Kama Ndiyo Kwanza Nimetoka Kijijini Kwetu KYAKA NKUNDE Jana Tu Na Leo Nasafirishwa Kwenda India Kutibiwa Moyo Unadhani Sitochelewa Kweli? Kusafiri Na Mbung'o ( Ndege ) Ni Habari Nyingine Mkuu Haswa Ukiwa MLUGALUGA Lazima Tu Utaachwa au Kuchelewa Unless Kuna Mtu Anakupeleka!

Hapa umeshasema unasafirishwa, siyo unasafiri. katika circumstances kama hiyo yako, mwenye maamuzi juu ya muda wa kuondoka au kufika airport (hence, wa kulaumiwa) ni huyo anayekusafirisha, si wewe!
 
Mwewe (ndege) lina raha yake hasa ukiwahi kucheck-in maana mi napenda vile vidada vinavyotangaza pale airport
 
Umeonaeeh, ni kweli kabisa mkuu #kipilipili . Unajua sometimes vitu kama ivi hata experience nayo inahusika. Huwezi kukurupuka tu from nowhere then ukaanza kulaumiwa kuwa uzembe sio kweli. Ujue kusoma ramani ya airport, flight information screen, Boarding gates, self check-in kiosk yote haya kama ww ndo waleee lazima utaachwa.... Sio kila airport inafanana na ya bongo kwamba kila kitu kipo hapo hapo... Uzunguke uende wapi akati Ka-airport kenyee kadgo tyu!

sawa sawa kabisa.......hasa hao wanaotoa boarding pass bila gate no.......halafu ukalitafutie mbele huko.......kama hujawahi kusafiri utafurahi.......hii kweli ni sababu madhubuti ya kuachwa na ndege...........

Mkuu viwanja vya wenzetu kutoka terminal moja kwenda nyingine ni umbali mrefu sana. Sasa ukiwa mgeni unaweza kujikuta unatakiwa ucheck in terminal 3 halafu wewe ukaenda terminal 2. Ukija kushtuka umeachwa. Sometimes upo in the right terminal ila sasa hujui ni counter gani unatakiwa ucheck in na wala hujui ni GATE gani? Wengi pia hujikuta wakiachwa transit kwenye kubadili ndege! Au ukute kuna zile electronic check in mashine , mwenzangu na mie umetoka "sitimbi" huna ujualo na kila mtu yuko busy halafu lugha ni gongana hata ukisemeshwa kile kingereza cha mbali na wale wasaidizi huelewi. Mpaka ukija kamilisha taratibu zote ndege imeshakuacha

Mkuu, hilo suala la Gate number achaaaaaa tu. Unakuta unatakiwa sometimes upande vile vishato kufuata gate lako, ukute sijui uko gate 20+ hata pakwenda kupandia hizo shato hujui yani unaweza ukatamani ulie

Uuwiiii! Mi mnyamwezi wa watu nitatia aibu siku hiyo ya safari yangu kwa Obama,sasa hizo check-in, sijui ma-boarding gates...sasa kama hawaandiki popote utajuaje kuwa unatakiwa utumie gate flani ili uende check-in sijui nyingine...hapo inakuwaje kwa mgeni,utafaham vipi hiyo issue
 
Back
Top Bottom