Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
...duh, nilidhani kutajwa ndio kuwapa 'ujiko' hao ma celebrity wetu wa Bongo...ngoja nami niuchune.
kama huniamini wewe endelea tu kuanika data zao hapa...
...duh, nilidhani kutajwa ndio kuwapa 'ujiko' hao ma celebrity wetu wa Bongo...ngoja nami niuchune.
kama huniamini wewe endelea tu kuanika data zao hapa...
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha
na hapa ndio utaona tofauti yetu na wale jamaa wanaotoka kule nyanda za juu kusini
wee acha tuuu
mimi bionafsi najua tushakutana pale Bills..
anyway turudi kwenye abdi msomali
Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.
Watu wamesubiri Carol anadondoka lini baada ya Abdi msomali kuondoka. Maskini kumbe umdhaniaye ndiye kumbe siye bado anakula kuku zake tu kwa mrija. Mungu ampe maisha marefu.
Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.
Bang lilianzishwa na kumilikiwa na vijana wenye ndoto zamaendeleo na wengine walipojitoa likabakia katika umiliki wa four strong girls ambao wamevuka vikwazo vingi mpaka walipofikia sasa. kimaadilisitareveal names za wakurugenzi wa awali na sasa wa bang ambao ndo wamiliki...
Ninajua in and out ya Bang mag thats why nimekupa hiyo true fact.
Huyo mzungu ni mke wa Richard yule mshindi wa big brother africa,she is canadian.
Atakuwa anamuongelea Mao Wambura.I think Mao wambura ni mtu wa kwanza kufunguaga duka la nguo za wanaume pale karibu na kindoni makaburini enzi hizo za 90's.Alikuwa very expensive usikute alikuwa anachukua sagula pale NYC then akauja kulangua bongo ila that was a smart move.
Oh yeah...wewe unaitwa nani?
....thatsWzUp!! yale malori ya mafuta ilikuwa ni zuga tu,yeyo ndo ilikuwa shughuli muhimu kati ya Abdul(R.I.P) na Chiluba.wanasema zilikuwa ni pesa za Kaunda au sijui chiluba na midude ilikuwa ikienda Zambia
Masikini Abel SIWALE mungu amlaze mahali pema peponi bado kuna akina marehemu patranco,Hans yule alikuwa anachezea Pazi i think basletball enzi hizo hawa wote maceleb wa zamani.
alafu kuna demu mmoja alikufaga i think wa kujirusha or something a while back,ndiyo walikuwa wale madume jike wa mwanzoni kabisa nimesahau jina lake ila alikuwa mulato.
....thatsWzUp!! yale malori ya mafuta ilikuwa ni zuga tu,yeyo ndo ilikuwa shughuli muhimu kati ya Abdul(R.I.P) na Chiluba.
carol nyimbo,mara mmojammoja anaonekana mitaani london it looks like she is still living big-lakini amix kabisa na wabongo-they last time nimemuona she was in this brand new set of wheels
mao wambura at one time alijimould kitabia na kimavazi kama B.I.G,na hata nyumbani kwake aliweka framed fake platnium discs ukutani,jamaa in class kichwa sana,sema tamaa ya quick life ilimponza-hii man hata mdude ishabeba
Nilimpiga makwenzi pale arusha sch.....mao wambura at one time
Nilimpiga makwenzi pale arusha sch.....
Nilijua utabisha tu...! Huyo jamaa nilimkaribisha school!Wewe ulikuwa unafanya nini Arusha school...? dizaini ulikuwa watchman
Nilijua utabisha tu...! Huyo jamaa nilimkaribisha school!