Abdi Msomali

abdi msomali alikuwa na righthand man wake anaitwa DEO(haya by tribe)huyu jamaa yuko wapi? abdu alikuwa anadai kupitisha mafuta tanzania transit ili kukwepa ushuru yakielekea nchi jirani,but kiujanjaujanja alikuwa anayauza bongo.AGAIN tankers zake za mafuta zilikuwa na secret compartments ambapo alificha pembe za ndovu-jamaa mjanja siku nyingi-kachafua sana dada zetu
 
wanasema zilikuwa ni pesa za Kaunda au sijui chiluba na midude ilikuwa ikienda Zambia
 
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha

na hapa ndio utaona tofauti yetu na wale jamaa wanaotoka kule nyanda za juu kusini

wee acha tuuu

mimi bionafsi najua tushakutana pale Bills..

anyway turudi kwenye abdi msomali
 
Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.

mhh mimi mbona las week nilipita pale nikakuta kuna Pharmacy? usije ukawa unachanganya mambo? Frame ya akina Rupia imekaa kichogi chogi japo wameipiga rangi lakini frame ya Abdi Msomali/Caro Nyimbo huwezi kuimiss maaana tangu ilipokuwa saluni miaka ile milango yake ilikuwa ya kuslide na mpaka leo ni vile vile




Watu wamesubiri Carol anadondoka lini baada ya Abdi msomali kuondoka. Maskini kumbe umdhaniaye ndiye kumbe siye bado anakula kuku zake tu kwa mrija. Mungu ampe maisha marefu.


CSI officer wangu ameniarifu kuwa mara ya mwisho Caro alionekana Northampton na mwingine alimwona Milton Keynes...so its fair to say kuwa anacheza maeneo ya Berkshire


Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.

Bang lilianzishwa na kumilikiwa na vijana wenye ndoto zamaendeleo na wengine walipojitoa likabakia katika umiliki wa four strong girls ambao wamevuka vikwazo vingi mpaka walipofikia sasa. kimaadilisitareveal names za wakurugenzi wa awali na sasa wa bang ambao ndo wamiliki...

Ninajua in and out ya Bang mag thats why nimekupa hiyo true fact.

mjomba kujua owner wa magazine si siri...si jina linaandikwa ndani ya hilo hilo gazeti? I might be wrong lakini as far as i know Alfa alikuwa bize na gazeti fulani lakini sijui ni lipi...actually i think alikuwa involved na yule sister wa Advertising Dar sasa sijui hilo gazeti liliishia wapi


Huyo mzungu ni mke wa Richard yule mshindi wa big brother africa,she is canadian.

hawalafu hawa couples bwana kila nikienda MILIMANI CITY kucheki movie nilikuwa nakutana nao mpaka nikahisi wananistalk or something...huyo sister inabidi ahit weightwatchers maana hayo mashavu yake..! ndio ni wife wake lakini mshikaji inabidi amuencourage apunguze unene maana in real life bwana duh!

I dont know maybe i am just used to upgrading...to dymes of course

Atakuwa anamuongelea Mao Wambura.I think Mao wambura ni mtu wa kwanza kufunguaga duka la nguo za wanaume pale karibu na kindoni makaburini enzi hizo za 90's.Alikuwa very expensive usikute alikuwa anachukua sagula pale NYC then akauja kulangua bongo ila that was a smart move.

Huyu last time nimesikia alikuwa amerudi kufanya kazi yake ya zamani ya kusafisha ma kapeti kule mississippi..according to Chale Mtawali sijui kama chale alikuwa natania au la...kusema ukweli mie sikuwahi kununua capelo za BULLS au LAKERS pale FLEX mjini nadhani duka lilikuwa jirani na msikiti wa mabohora if not opposite BURHANI HOSPITAL

Mao alitakiwa naye awe mbali kama mwenzie MUDI MAS

Oh yeah...wewe unaitwa nani?

bdscap.gif
 
Last edited:
wako wapi hawa watemi wa 70's pale oysterbay, Deo Lee, Nguva na Papa, walikuwa wanatetemesha kama hakuna polisi vile
 
Masikini Abel SIWALE mungu amlaze mahali pema peponi bado kuna akina marehemu patranco,Hans yule alikuwa anachezea Pazi i think basletball enzi hizo hawa wote maceleb wa zamani.
alafu kuna demu mmoja alikufaga i think wa kujirusha or something a while back,ndiyo walikuwa wale madume jike wa mwanzoni kabisa nimesahau jina lake ila alikuwa mulato.

nilivyolisoma hilo jina,mwili wote umenisisimka,jamaa alikuwa rafiki yangu saana,nakumbuka tulimzika makaburi ya misheni,na babaake alifariki akiwa katika treni akiwa anaelekea mbeya kupeleka msiba wa patranco...MWENYEZI MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI,AMEEN
 
carol nyimbo,mara mmojammoja anaonekana mitaani london it looks like she is still living big-lakini amix kabisa na wabongo-they last time nimemuona she was in this brand new set of wheels
 
....thatsWzUp!! yale malori ya mafuta ilikuwa ni zuga tu,yeyo ndo ilikuwa shughuli muhimu kati ya Abdul(R.I.P) na Chiluba.

lazima tutakuwa tushakutana Langata enzi zile wakati baba yao akina SHUSHU alipokuwa anaimiliki
 
carol nyimbo,mara mmojammoja anaonekana mitaani london it looks like she is still living big-lakini amix kabisa na wabongo-they last time nimemuona she was in this brand new set of wheels

mbona MK anaonekana na wabongo?

alionekana kwenye party ya Julie kule na julie ni mbongo au?
 
mao wambura at one time alijimould kitabia na kimavazi kama B.I.G,na hata nyumbani kwake aliweka framed fake platnium discs ukutani,jamaa in class kichwa sana,sema tamaa ya quick life ilimponza-hii man hata mdude ishabeba
 
mao wambura at one time alijimould kitabia na kimavazi kama B.I.G,na hata nyumbani kwake aliweka framed fake platnium discs ukutani,jamaa in class kichwa sana,sema tamaa ya quick life ilimponza-hii man hata mdude ishabeba

icetsoulja.jpg


No wonder akina MOODY MAS wamepiga atua kwenye biashara hizo hizo za kuuza chupi yeye alirudi kwenye fani yake ya kusafisha makapeti

who know anaweza akawa kajifunza na sasa akijipanga anaweza kurudi kwenye chati
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom