Abdi Msomali

Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.

Mwenyezi mungu amzidishie umri mrefu na afya njema. Habari njema hizi.
 
Mungu wangu!
Frank..... sina hata la kusema...
Mungu amjalie apone !

Jirani, halafu kuna watu hawabadiliki sura zao. Sijamuona Franco miaka mingi sana lakni sura yake bado ni ile ile ya tangu miaka ileeeeee. Kweli kabla hujafa hujaumbika.
 
...ha ha ha, BaK nikikwambia nilikuwa nayarudi macharanga na pachanga ya Ibrahim Ferrer pale Tanzania Legion utaamini? we acha tu. Halafu nazungumzia miaka hiyo -House parties mitaa ya O'bay, Upanga, Seaview nk...

Ok, Mbu hatukuwa maeneo ya mbali kabisa katika urukaji nyoka maana mitaa hiyo yote uliyoitaja ilikuwa kuruka nyoka ni kwa saana tu enzi zile.
 
Jirani, halafu kuna watu hawabadiliki sura zao. Sijamuona Franco miaka mingi sana lakni sura yake bado ni ile ile ya tangu miaka ileeeeee. Kweli kabla hujafa hujaumbika.

BAK kwani wewe umebadilika?.i mean watu wakikuona watakupotea?Franco bado ana baby face.
 
Jirani..nimeshtuka sana..nilishasikia Franco Mtui kapata paralysis..haikunijia akilini kabisa kuwa ni Frank!Sura yake iko vilevile!
Imagine this at the peak of his life jamani!
 
Mwenyezi mungu amzidishie umri mrefu na afya njema. Habari njema hizi.

Watu wamesubiri Carol anadondoka lini baada ya Abdi msomali kuondoka. Maskini kumbe umdhaniaye ndiye kumbe siye bado anakula kuku zake tu kwa mrija. Mungu ampe maisha marefu.
 
Jirani..nimeshtuka sana..nilishasikia Franco Mtui kapata paralysis..haikunijia akilini kabisa kuwa ni Frank!Sura yake iko vilevile!
Imagine this at the peak of his life jamani!

Jirani inasikitisha sana kwa kweli, hopefully kutatokea miujiza ili aweze tena kutembea mwenyewe, maana ulemavu wa kupooza mwili mzima na kila kitu inabidi utegemee mtu au watu wakufanyie huwa unatia unyonge wa hali ya juu.
 
BAK kwani wewe umebadilika?.i mean watu wakikuona watakupotea?Franco bado ana baby face.

Ha ha ha ha SF mimi sitii neno kuhusu baby face ha ha ha ha, By the way hongera kwa kuutwaa ubingwa wa NBA.
 
ebwana habari za Frank ndio nimezisoma humu...noma tupu

hivi kuna mtu anajua ALFA naye yuko mji gani maana lile duka lake la simu kule Karibu hotel limefungwa na last time nilisikia kuwa ndiye owner wa gazeti la Bang sijui kama kweli

yaani tangu nima yake na mtoto wa mkubwa kapotea jiii
Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.

Bang lilianzishwa na kumilikiwa na vijana wenye ndoto zamaendeleo na wengine walipojitoa likabakia katika umiliki wa four strong girls ambao wamevuka vikwazo vingi mpaka walipofikia sasa. kimaadilisitareveal names za wakurugenzi wa awali na sasa wa bang ambao ndo wamiliki...

Ninajua in and out ya Bang mag thats why nimekupa hiyo true fact.
 
Wakati abdi anafariki kulikuwa na hofu kubwa sana dar kwani aliwapitia sana kwa mtego wa lift na chips yai.

Dereva wake amewini kinoma maana aliamua kutembea kwenye deals za bosi wake na sasa jamaa ni mla bata jijini. ni miongoni mwa wamiliki wa falcon drycleaner ili kumcover.... jamaa ana rock kinoma labda awe amefulia sasa ila....
 
Ha ha ha ha SF mimi sitii neno kuhusu baby face ha ha ha ha, By the way hongera kwa kuutwaa ubingwa wa NBA.

Asante BAK,Sasa nadhani utakubaliana na usemi wangu niliokuwa nakwambia kuwa Lakers wako juu sana.

Usiwe na wasiwasi BAK lazima kuna watu wanakuonabado una baby face.Ila suala la Franco ni kweli kabla hujafa hujaumbika.Kuna mama mmoja alikuja kupatwa na ajali ya gari mbaya sana alikaa kwenye koma kwa takriani miezi 3 hivi na watu walishaishiwa na hope ila akaja kupona.wit the help of plastic surgery lakini wapi haijasaidia kabisa ameungua uso mzima na masikio na nywele hana ila mungu mkubwa amemuweka hai na yupo anadunda mtaani ila ndiyo hivyo ana kilema cha maisha hawezi hata kufanya kazi ila si unajua tena marekani unalipwa disability.saa nyingine ni kumshukuru mungu kama umelala na kuamka salama.
 
Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.

Bang lilianzishwa na kumilikiwa na vijana wenye ndoto zamaendeleo na wengine walipojitoa likabakia katika umiliki wa four strong girls ambao wamevuka vikwazo vingi mpaka walipofikia sasa. kimaadilisitareveal names za wakurugenzi wa awali na sasa wa bang ambao ndo wamiliki...

Ninajua in and out ya Bang mag thats why nimekupa hiyo true fact.

Thank you for the information maana kila siku miye najua waanzilishi wa Bang magazine ni the mwamanga's.
 
Naona vijana humu wamezungumzia ma-selebriti wao wa 80's na 90', Nami imenijia hamu ya kuwataja ma selebriti wa enzi zetu 60's na 70's.

Jee, kuna anaeweza kupinga kuwa walikuwa ni kina Wendo, Zialor, Sykes, (group moja hawa)... nani anawakumbuka wengine, ukiacha wababe wa enzi hizo akina Mrisho Wanted, Mkwanda, Joni Mgogo.....

Haya vijana wazamani, hawa vijana wa sasa na wa hivi karibuni hawajui kama nasi tulikuwa na ma-selebriti wetu? leteni vitu.

Enzi za Ettiennes, Sea View, Africana, Bahari....
 
Hapo itabidi usubiri vibabu vinoko vya enzi hizo...akina Fundi Nanihino, Jasusi naye ni bonafide kibabu ingawa si mnoko....
 
Naona vijana humu wamezungumzia ma-selebriti wao wa 80's na 90', Nami imenijia hamu ya kuwataja ma selebriti wa enzi zetu 60's na 70's.

Jee, kuna anaeweza kupinga kuwa walikuwa ni kina Wendo, Zialor, Sykes, (group moja hawa)... nani anawakumbuka wengine, ukiacha wababe wa enzi hizo akina Mrisho Wanted, Mkwanda, Joni Mgogo.....

Haya vijana wazamani, hawa vijana wa sasa na wa hivi karibuni hawajui kama nasi tulikuwa na ma-selebriti wetu? leteni vitu.

Enzi za Ettiennes, Sea View, Africana, Bahari....

Skykes nimemsikia enzi hizo lakini never meet na ma-dj akina marehemu Kalikali,Choggy sly nk
 
Thank you for the information maana kila siku miye najua waanzilishi wa Bang magazine ni the mwamanga's.

Mwamanga mmoja ndiye aliyekuwepo katika initial steps wakati mdogo wake akiwa masomoni kwa zuma. Alimuingiza kwenye waanzilishi tuIla wapo waanzilishi ambao ukitajiwa utashangaa na kujiuliza wapo wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom