mmmh isijekuwa ni mdada unanienjoy tu hapa
Mkuu yule nae alikua walewale nayeye alipata haki yake alikuwa anatumia ID ya senator001 baadae ikabainika ni Perry tunashukuru ile wiki ilirudisha heshima jukwaa la Elimu si unaona kulivyotulia?
Kale hata kakitoka tunakarudisha tena.
Huyu ni kudili naye tu mpaka nimpate
Mtoto kaumbika balaah
Wewe upo sawa lakini?
Mi dume achana na mbarikiwa bujibuji.
kweli mkuu sasa kuna heshima..
sasa najitolea kwenda kusafisha kule siasani..
akuuuu sitaki mie
Hahahahaha kule mkuu huchelewi kulamba life ban ila taarifa za intelijensia zipo kamili kamili
hio ya matola mbona hukunishtua ID yake nyngine ndio ilkuwa ipi!??
kahtaan atakuwa alifurahi sana
Sasa kwanini hutaki mimi nafanya kazi bodi ya mkopo yaani mkopo wako utakuwa unasaini kila mwisho wa mwezi.
alafu naanza na rafiki yako ritz