Mkuu simwandami nampa promo maana ni mzuri balaa
Halafu makalio ndio usiseme tena ni yele rojo rojo
Sasa naona wakware wameanza kumfukuzia kwa kasi ya ajabu
Wakati mali yangu
Ndio najitahidi kumdhibiti mkuu
alafu naanza na rafiki yako ritz
Siaminiii mpaka aje hapa athibitisheeeeee
...dah hiii HABARI mbn imemishtua mzee mwenzangu...Nimekoma kutongoza ID za kike zenye posts za micharuko. Hatari sana mzee. Sikumbuki kama sijamtongoza giLESI kumbe ni njemba nayopiga nayo ulabu weekend. Keimamae walah...
Ogopa kumtolea nje mod. lazima akuumbue. ole wake atakayemerge ids zangu. ntaloga mtu kikojoleo kihamie usoni.
Jamaa nae alituvamia elimu kwa ID ya billionaire pitgan ghafla akaja na Raswiser hukuona ile thread aliyolalamika hana uwezo wa kulipa ada ya mtoto?
Hahahahaha zote ziliunganishwa nakumbuka nilikuita
Aluu. Kumbe kuna zoezi la kumerge account za watu humu. Sasa Mods wanajuaje kwamba ni mtu yule yule? Je wakimerge wanakupa taarifa au? Ipo siku ntakuta wamenimerge na ..... Wakati kila mtu na PW yake , itakuwa mtafutano!
Bujibuji ni ME.
Physical examination conducted.
Huyu amejificha peupe kabisa, bora angekombilia kule jukwaa la chini kule. Huyu hapa chini
https://www.jamiiforums.com/habari-...wachina-waamua-kusakadiamond.html#post9384536