Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

Sina u
Lini mtatangaza sera zenu kama kila siku ni kujibu hotuba za Lissu.
[/QUOT
Zona upotoshaji sana,
Narudia ilani yenu ni mawazo ya bavicha hap JF ndo mgombea wenu anatumia.
Siku moja atoke na hicho ki ilani akisome hadhalani kuhusu madini,?
 
Tunafahamu unajua ukweli wa mambo, lakini ushabiki wako wa CCM unakufanya uwe mpumbavu!
 
Dr. Akili,

Akili yako inashindwa kung'amua kuwa kuna watanzania wanaoshindwa kupata huduma za afya kwa kukosa pesa?
Umeandika mengi mazuri lakini kwa ujumla unajaribu kushawishi kama aliyekariri.
Tunatakiwa tuwe wazalendo kwa kujenga uelewa wa jamii kupima uzito wa mazuri na mabaya.
Kudanganya ni siasa za kizamani (kijima).
Kusema ukweli hushawishi watu wenye akili nzuri.[/QUOTE]
 
Na serikali za mitaa sio sehemu ya Serikali?

Amandla...
Ni sehemu ya serikali tutakayoichagua hapo 28 Oktober ie mafiga matatu. Haya mafiga matatu hao jamaa hawatapata hivyo chungu hakiweza kutengwa. Watarudi kwa akina Adam Robertson waliowatuma kwenda kurejesha imprest.
 
Ni sehemu ya serikali tutakayoichagua hapo 28 Oktober ie mafiga matatu. Haya mafiga matatu hao jamaa hawatapata hivyo chungu hakiweza kutengwa. Watarudi kwa akina Adam Robertson waliowatuma kwenda kurejesha imprest.

Haujasema kitu hapa isipokuwa platitudes tu. Na Adam Robertson ndio nani?

Amandla...
 
Mbona wewe mgumu kuelewa? Nimekuambia wale wasiyo na uwezo (masikini) wanapewa msamaha wa kutolipa cho chote. Maana yake ni kuwa wanalipiwa na serikali 100%. Au wewe tu unataka neno bima lionekane ndiyo uelewe kuwa umelipiwa hayo matibabu?
Kwahiyo mtu anaweza enda kufanya check up bure kabisa akitoka anasema mimi maskini?? Basi ndio inakua bima imefanya kazi hapo??
Hapan ni sawa na ile concept ya Walimu wapande daladala bure au wapewe transport allowance mwisho wa mwezi? Yote yanataka kusolve issue ya usafiri lakini scope ni tofauti na ndio Lissu kaona hiyo ya ''Bima'' ni njia formal zaidi kufikia universal Health-care services.

How about that?
 
Mh unasema anapotosha halafu unajijibu mwenyewe kwenye aya ya kwanza tu.

Mlivyo wajinga unaweza kuta hapo huna hata bima ya afya, wazazi wako hawana bima ya afya.

Unaowapigania hata wakiugua ventilator zinatolewa mahospitalini na kupelekwa majumbani kwao wakajitibu nyinyi mteketee kwa kukosa huduma.
 
Rwanda yenyewe imekopi kwetu. Sisi tuliunda mfumo huu miaka ya 1991 wakati huo wanyarwanda wakiwa buisy wakitwangana wenyewe kwa wenye na sisi tukiwa wasuluhishi wao.
Narudia tena Modal ya Rwanda na Tanzania ni tofauti kuanzia regulation,funding mpaka practice. Hivi sisi tuna uchangiaji wa ''ujirani mwema" kwa ajili ya bima?. Hata hilo kajifunzeni mkuu muache ubishi kuwa haiwezekani.
 
Tatizo unaongea vitu hujui.. jifunze kusoma kwa makini.. kuna watu humu wazoefu kuliko wewe. Unacho elezea hukijui..
Rwanda yenyewe imekopi kwetu. Sisi tuliunda mfumo huu miaka ya 1991 wakati huo wanyarwanda wakiwa buisy wakitwangana wenyewe kwa wenye na sisi tukiwa wasuluhishi wao.
 
Tatizo unaongea vitu hujui.. jifunze kusoma kwa makini.. kuna watu humu wazoefu kuliko wewe. Unacho elezea hukijui..
Unafikiri udokta wangu ni wa kuokota majalalani? Kuwa na imani na hiki ninachokuambia mtoto wangu. Hunijui na mimi sikujui. Trust me.
 
watu milioni 50 mnatibiwa bure?

Ujima.com

Viva Magu
Heil JPM
..kama RWANDA wanaweza kwanini sisi tushindwe?

Rwanda: the beacon of Universal Health Coverage in Africa
Rwanda: the beacon of Universal Health Coverage in Africa
 
jifunze tax system ya hizo nchi kisha rudi u comment


Viva Magu
Heil JPM
Punguza ujuaji na kizunguuu chako kireeeefu
Tunaijua Obamacare na mengineyo jaribu kujifunza Health Care ya Sweden Canada etc utakuja kufuta upupu wako.
Live Long Lissu
Atawayambisha mpaka mjibebee
 
Chadema na Lisu wenu Hata kama mwasema SERA YA. BIMA ya Afya ni yenu ni Sawa!! Lakini utawaletea vipi BIMA ya Afya bila kuboresha miundombinu Ya Afya
Ikiwemo kuwa na vituo vya Afya, (Majengo,Dawa, wahudumu)
Mnaiongelea Rwanda kuwa mbona imewezekana Kwa Raia wake kuwa na BIMA
Miaka 3 iliyopita nimeishi Rwanda sio mjin Tu( kigari) Hadi vijijini nimezurula saana
Kagame na serikali yake walianza Kwa kuboresha vituo vyote vya Afya Kama alivyofanya JPM
Baada ya hapo nafasi za KAZI Kwa wataalamu WA Afya zikatangazwa na kuajiriwa Kwa Wingi
Alafu BIMA ya Afya ndo ikatakelezwa
Na Wamefanikiwa
JPM 5 tena
 
Kama wewe ni doctor basi shule haina maana.. mawazo uliyo andika hata darasa la saba anaweza fanya vizuri zaidi yako.
Unafikiri udokta wangu ni wa kuokota majalalani? Kuwa na imani na hiki ninachokuambia mtoto wangu. Hunijui na mimi sikujui. Trust me.
 
Ujajifanya mwerevu kuliko mwenyekiti wako wa ccm.. mwenyekiti wako anaelewa anacho ongea lisu ndio maana ameamua kuchomekea kwa sababu ni hoja yenye mashiko.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…