- Thread starter
- #401
Isn't you who commented here regarding your age Intelligent businessman ? , ulisema mwenyewe una umri mdogoMchawi umri kaka, Prisha aki punguza punguza ata nishawishi😂🦅
Isn't you who commented here regarding your age Intelligent businessman ? , ulisema mwenyewe una umri mdogoMchawi umri kaka, Prisha aki punguza punguza ata nishawishi😂🦅
Yap i said something like that, but I didn't actually mention my age.Isn't you who commented here regarding your age Intelligent businessman ? , ulisema mwenyewe una umri mdogo
Good for you 🤷♀️Yap i said something like that, but I didn't actually mention my age.
small of mine might be the biggest to you, hehehe ain't speaking about ma dck though.
Vishu Mtata hebu kazan ubebe chombo hii mzeeke pamoja, hutaki tuje tule samaki maskaniGood for you
Sijakidhi vigezo mkuu, mbona ingekua mapema tu.Vishu Mtata hebu kazan ubebe chombo hii mzeeke pamoja, hutaki tuje tule samaki maskani
Mimi ni used materials, napokea ushauri.
Nimesoma upya na imeniuma pia, ila kuna baadhi ya comments zinaumiza ,ila basi tu unaamua kureply kulingana na anavyotaka huyo aliyetoa comment. Jukwaa la love connect liliwekwa kwa nia njema tu, ila ukileta thread unasakamwa na kudhihakiwa kama kuna kitu umekosea .
- Hii comment imenifanya niumie.
- Hapana usijifikirie hivyo, kuwa Positive, Mungu akutie Nguvu.
Hapana si wewe, angalia vizuri commentDaah unaona unitangaze Prisha
kaka leo nime amkia samaki jodari, huenda nikawa na ujasiri wa kumchana muhindi aache wiziSijakidhi vigezo mkuu, mbona ingekua mapema tu.
Sawa madam kumbe Intelligent businessman ni katoto ka buku mbili, ndo maana anasumbua sana jukwaaHapana si wewe, angalia vizuri comment
Well unamaanisha hamna mwanaume aliye single ,Wote wako na watu wao? inaweza kuwa kweli, ila kama bado hajaoa na hayupo kwenye serious relationship huyo namhesabia kama yupo single bado.Mama hapo kwenye singali mmh labda tukudanganye, ninachokumbuka kwa Mke wangu alimnyang’anya mie mwanamke
mwenzie with serious. Japokuwa alikula matusi ya kutosha toka upande wa pili.
Ina wezekana ndio, ina wezekana siyo.Sawa madam kumbe Intelligent businessman ni katoto ka buku mbili, ndo maana anasumbua sana jukwaa
Siyo kweliWasiojulikana hawa
Wala usijitetee hatuangalii machuriti, hapa ni namba tu.Ina wezekana ndio, ina wezekana siyo.
Ila vurugu na ucheshi ndio asili yangu, 😂😂.
but one thing to note nime anza hustle kabla ya kuwa na miaka 18, maturity yangu ime anza kitambo.
mzee kwani mwajuma ndala ndefu si bado yupo 😂😂Duhhh....
Hii ilinipita mkuu, kwani nafasi bado ipo??
Dah 37 ume niacha kama,😂😂.Wala usijitetee hatuangalii machuriti, hapa ni namba tu.
Nina 37 na nipo kwa mjomba wala siwazi kuondoka, kwa vigezo vya mleta uzi nimeshakidhi, ila wewe na machuriti yako unakosa dodo.