A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

ni kweli nna uhitaji, kama kuna kigezo kimepungua still tunaweza kuzungumza, naamini kama ni ujobless ni suala la muda tu siku mambo yatakua sawa ,muhimu ni kuwa na mipango thabiti
Napenda namna ulivyo na utulivu, ujobless kweli ni suala la muda ila waliowengi wamefanywa kuwa watumwa.

Binafsi hii fursa inanipita kwasababu kujiimarisha kiuchumi ndiyo kipaumbele changu kwa sasa.

Sizingatii umri wako kwasababu najiamini na naamini ningeweza kukumudu kiakili na kimwili pia.

Acha niwe mpenzi muombaji, nakuombea upate hitaji la moyo wako.
 
Hiyo "he should be Tall" fanya ufute tu maana utaambulia vituko tu at your age huna sababu za kutafuta urefu ambao hautakusaidia lolote huko mbeleni.

Hao tall ungewatafuta ukiwa na miaka 16 hadi24 huko ila kwasasa fanya kama unapambana na hali yako unachukua standard men in the market.
 
Mi sikufichi ndugu yangu tafuta walio na umri chini ya hapo utanishukuru
Walio katika 20s ambao wana maisha ya kawaida ila wanatafuta kuna wanaume huwaga hawana hulka ya umalaya. Jiweke tu vizuri vizuri punguza vitenge miaka 33 bado sana ...
Nmekushauri hivyo kwakua nmejaribu kuchunguza mwanaume mwenye 20s Gubu lake halijakomaa bado anajifunza mambo mengi!
Hio miaka unayoitaja kuna ma single father halafu sasa wana Gubu na ni much know hasa ukute wajafanya kazi yenye kamshahara kazuri
Mamdogoo utanikumbuka 😃
Yap 33 bado, nime wahi kuona mabinti kadhaa una ambiwa miaka una baki kusema uongo😂🦅
 
Napenda namna ulivyo na utulivu, ujobless kweli ni suala la muda ila waliowengi wamefanywa kuwa watumwa.

Binafsi hii fursa inanipita kwasababu kujiimarisha kiuchumi ndiyo kipaumbele changu kwa sasa.

Sizingatii umri wako kwasababu najiamini na naamini ningeweza kukumudu kiakili na kimwili pia.

Acha niwe mpenzi muombaji, nakuombea upate hitaji la moyo wako.
Nafwaa🦅, Selikavu, dosho12, Edo kissy dogo kamuacha kikongwe 🤣 😂
 
Hiyo "he should be Tall" fanya ufute tu maana utaambulia vituko tu at your age huna sababu za kutafuta urefu ambao hautakusaidia lolote huko mbeleni.

Hao tall ungewatafuta ukiwa na miaka 16 hadi24 huko ila kwasasa fanya kama unapambana na hali yako unachukua standard men in the market.
Ahsante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom