Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,113
- 110,870
Mwa J sio waifu matirio kama hii pisi kali ya hapa...😋mzee kwani mwajuma ndala ndefu si bado yupo 😂😂
Mwa J sio waifu matirio kama hii pisi kali ya hapa...😋mzee kwani mwajuma ndala ndefu si bado yupo 😂😂
Mjomba ni mama, na mimi nimo kwenye urithi japo mi na mjomba hatujapishana sana 😀😀Dah 37 ume niacha kama,😂😂.
halafu watoto wa mjomba si wata anza kuhisi una taka kuwa dhurumu urithi wao.
Mzee kataa ndoaMwa J sio waifu matirio kama hii pisi kali ya hapa...😋
Mjomba ni mama ila hanyonyeshi, kuwa makini asije aka kugeukia aku timue usiku wa manane.Mjomba ni mama, na mimi nimo kwenye urithi japo mi na mjomba hatujapishana sana 😀😀
KaribuMwa J sio waifu matirio kama hii pisi kali ya hapa...😋
Ukoo hautakalika akinifukuza, anifukuze niende wapi mkuu.Mjomba ni mama ila hanyonyeshi, kuwa makini asije aka kugeukia aku timue usiku wa manane.
Uka ishia kwenda kulala daraja la manzese kwa kina Kunguru wa Manzese
Dah mwanangu una jifanyaga kichwani hazimo, kudadadeki 😂Ukoo hautakalika akinifukuza, anifukuze niende wapi mkuu.
Mi agent makini najua niishi nae vipi , kwa kazi yangu sio vizuri kua na makazi maalum
Mama ananitegemea kwa ulinzi wa hii nchi.Dah mwanangu una jifanyaga kichwani hazimo, kudadadeki 😂
Niko napiga donee hapa, ili kitoke cha mtumeMama ananitegemea kwa ulinzi wa hii nchi.
Ugali dagaa au mnanunua arage la jero, mnatia pilipili ya kutoshaNiko napiga donee hapa, ili kitoke cha mtume
Bablai mbona kama huja kaa maskani?, ma bro wa kishua miyeyusho nyinyi.Ugali dagaa au mnanunua arage la jero, mnatia pilipili ya kutosha
Kila lililo la kheri liwe na weweHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Sikumaliza kuisoma mzee kumbe unapiga mpidooBablai mbona kama huja kaa maskani?, ma bro wa kishua miyeyusho nyinyi.
Cha mtume si wali bro, au ndio usha zoea ma pizza kwa mjomba
Ume nirushia stimu, una leta uwaki. kijiweni lazima wakutimue mwanangu.Sikumaliza kuisoma mzee kumbe unapiga mpidoo
Amina ahsante sanaKila lililo la kheri liwe na wewe
Hiki ni kipato kikubwa kabisa na kitatosha, pia palipo na ndoa na maelewano Mungu anaongeza riziki, atatujaalia zaidi kadri ya bidii zetu, if you're serious karibuhuyu mwanaume unayemsemea hapo ni mimi kabisa, ila shida ni kwamba kipato changu kidogo kwa sasa, 2.8M/= per month haiwezi kututosha mimi na wewe, au utanivumilia hivyo hivyo na hali yangu duni
🤣🤣Did you say aged 33 years?
Na bado unataka mwanaume tall 😄
Kmmk 😁😁🤣Huyu anashindwa kuelewa kwamba kwa umri huo yeye anatakiwa atafute tu anaepumua 😀😀
🤣🤣🤣🤣33 bila mtoto! Umechomoa mimba kibao unataka uanze kumsumbua mtu atumie pesa zake kukutembeza kila Kona ya dunia kupata mtoto! Mkuu malizia tu safari yako mbona life lenyewe fupi
Miaka 33 with bikira !? Acha basiiii 🤣😁🙌Mbona hujasema Kama wewe unazo biashara ama uko employed , pia wewe una miaka michache Ila unataka mwenye umri mkubwa unataka utembelee uzoefu wa Maisha kwa mwenzako..pia bikra hujasema Kama unayo Mana thamani ya mwanamke ni bikra ukiwa hunayo ina Mana ni used materials. Your value at relationship as a woman is just your body. Someone can take from your family without nothing except your body and that body must be pure from creation.
That's the pride and power of man that is having real virgin wife. The way you feel once you meet a man who can take care everything for you the same way man feels once finds your body touched by any man.
Hapo Sasa hata ukitaka ulipwe mahari yoyote unalipwa.
Refer to southern sudanese hata from biblical or scripture even hata moslems or Quran and Arabs are always seeking Virginity that proves you're faithful and you kept your body thus you'll keep and care somethings.
Najua watakuja kutukana na ku reason kuwa bikra is nothing,okay sijakataa bikra is nothing but tuwakute na bikra zetu jamani hizo ndizo ufahari kwetu kwa wanaume.