- Thread starter
- #441
Usinicheke ,I feel bad🙄
Usinicheke ,I feel bad🙄
Ahsante sana🙏Mtoa mada yuko very positive na amejitahidi kua mtulivu pamoja na kejeli za hapa na pale hii inaashiria maturity
Kama maisha yako ya kila siku uko hivi naamini ungeshapata mtu na kama hujapata bado basi very soon utapata
Changamoto Kubwa ya umri watu wanahofia kwamba huenda kipindi uko kwenye prime yako ulikua picky sana au ulipata watu seriously lakini ulikua na mambo mengi lakini pia usikate tamaa 33 bado sana kuanza kusema tuzeeke pamoja jiamini jiweke vizuri basi
Nakuombea mkuu
Una hakika ni mwanamke kweli ??? Labda is a trap to somebody aimed.employed or he must have a business, wewe una kuja na kipi Cha maana au ni mawigi ya Brazil?
Kila la kheri mkuuAhsante sana🙏
Am a lady and genuinely looking for a man, nothing other thanUna hakika ni mwanamke kweli ??? Labda is a trap to somebody aimed.
Ahsante sanaKila la kheri mkuu
Hahaha mimi sijui hilo mkuu, yaweza au sio maana since April lol🦅Una hakika ni mwanamke kweli ??? Labda is a trap to somebody aimed.
Mimi ni mwanamke, na wala hakuna nia nyingine tofauti watu wasiogope bureHahaha mimi sijui hilo mkuu, yaweza au sio maana since April lol🦅
Usi ulize we pigia mstari bro 😂😂Kama tokea mwez wa 4 mpk leo upo unatafuta tuu. Bas kuna tatizo mahali
Labda upo selective sanaa au kuna namna unajiweka mtu mwenye nia anakata tamaa
Ahh wapi, wajinga ndio wali wao 😂😂Mimi ni mwanamke, na wala hakuna nia nyingine tofauti watu wasiogope bure
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Ahh wapi, wajinga ndio wali wao 😂😂
Kukutukana ndio nini?Unaogopa nn akat mtaenda kukutukana
Bado hawajaja "potential candidates"? Mbona umeonekana genuine sana....Mimi ni mwanamke, na wala hakuna nia nyingine tofauti watu wasiogope bure
i still repeat 🦅Bado hawajaja "potential candidates"? Mbona umeonekana genuine sana....
oya una kuwa kama sio expert bob?Bado hawajaja "potential candidates"? Mbona umeonekana genuine sana....
TANGAZO NDO NAONAHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.