- Thread starter
- #381
Ahsante shem
Ahsante shem
Unataka kuona nini specifically?Lete picha yako
Wewe unayo?Wewe ni bikira?
Siyo kweliTapeli hilo Nigerian scammer anatest mitambo hapo
Amina ahsanteMie acha niendelee kumuombea tu yuko vizuri sana kwenye maandishi yake, natumai na kwenye uhalisia atakuwa hivyo pia.
SawaHamja SEMA MPAKA mseme. Alafu weka picha tuta amini VIPI JE kama ni jini
Bado hajapatikana?Amina ahsante
Kumbe kuuliza ni kutongoza siku hizi?
Mbona wajihami, wapi nime sema una tongoza acha Wenger 😂🤣🦅Kumbe kuuliza ni kutongoza siku hizi?
Wala haihitaji D2 kuelewa mkuu 😂Mbona wajihami, wapi nime sema una tongoza acha Wenger 😂🤣🦅
Hapana mimi ni mtanzaniaWe ni mkenya?
Mpaka leo bado huja pata?Hapana mimi ni mtanzania
Dogo jiweke apo, sio unavizia tu uzi wa bibie.Mpaka leo bado huja pata?
kaka si uli sema niku pambanie?, ndio nikawa nawaza ume shindwa kuvimbaDogo jiweke apo, sio unavizia tu uzi wa bibie.
Usipite njia ndefu pm yake ipo wazi.
Ni mdogo kwangu huyuDogo jiweke apo, sio unavizia tu uzi wa bibie.
Usipite njia ndefu pm yake ipo wazi.
Ahsante kwa maombi, naamini Mungu atasikiaNapenda namna ulivyo na utulivu, ujobless kweli ni suala la muda ila waliowengi wamefanywa kuwa watumwa.
Binafsi hii fursa inanipita kwasababu kujiimarisha kiuchumi ndiyo kipaumbele changu kwa sasa.
Sizingatii umri wako kwasababu najiamini na naamini ningeweza kukumudu kiakili na kimwili pia.
Acha niwe mpenzi muombaji, nakuombea upate hitaji la moyo wako.
Una ijua miaka yangu?, au ndio una tumia probability?Ni mdogo kwangu huyu