Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,721
- 97,580
Tukuachie kaka au?Wajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12