A New Music FYI...

Status
Not open for further replies.
51hpAq5jxKL._SS500_.jpg
 
Udaku na Mdaku utamuelewa tu. Hii ndio ile ukisikia "suspense promotion" ya udaku. Ikifika wakati wa kusikiliza huo mziki unakuta nyimbo ni utumbo na mashairi ya kusadikika. Kuna watu mahodari wa kazi zao.
 
Wewe umbea utakushinda! kama recording studio zako ni mbovu basi unaweza kuungana na Komba kwenye tot plus zake na utuachie miziki yetu wana JF.... grrrrrrrrr
 
ziko CD mbili lakini naona watu wako tuu excited sasa sijui ipi nzuri ya "zero distance" au ya "mapepe"..
 
Wewe umbea utakushinda! kama recording studio zako ni mbovu basi unaweza kuungana na Komba kwenye tot plus zake na utuachie miziki yetu wana JF.... grrrrrrrrr

Ukiongelea mziki unanikumbusha Mzee Ruksa alipotembelea Moshi akaimbiwa Taalabu. Hatari kubwa. Nyimbo yenyewe ilikuwa inaitwa "mgonjwa poleeee eeeheeeeh mgonjwa polleeeee".

Mungu walai.
 
Usidhani wamekusahau, we jipeleke hivyo hivyo. Ila nikiri jina lako huku ofisini utadhani sijui nini. Kuna mtu alikuwa anamfukuza nzi ukutani akadai "nzi wa mwanakijiji" LoL. Well wenzako wanasubiri kesho, mkifungiwa tena usilalamike kutakuwa hakuna cha BBC wala CNN.

Asante.
 
Bi senti jamani, nilidhani yamekwisha baada ya Lowasa kuondoka?
 
Usidhani wamekusahau, we jipeleke hivyo hivyo. Ila nikiri jina lako huku ofisini utadhani sijui nini. Kuna mtu alikuwa anamfukuza nzi ukutani akadai "nzi wa mwanakijiji" LoL. Well wenzako wanasubiri kesho, mkifungiwa tena usilalamike kutakuwa hakuna cha BBC wala CNN.

Asante.

Bibi Senti 50

Kumbe bado uko arobaini na saba? Kwa taharifa siku hizi tunahitaji Tanzania ya kukimbia Miaka takribani 47 tuliotambaa baada ya kupewa uhuru inatosha.

We Muziki wako wa Ekimenengule utawekewa kwenye Bodi ya CCM, huku usiangalie.
 
Nishapiga pekosi yangu mpya na slim fiti ngoja nivae raizoni zangu kabisa nijiandae kwa bampingi la nguvu maana Ijumaa ndio hii...
 
Usidhani wamekusahau, we jipeleke hivyo hivyo. Ila nikiri jina lako huku ofisini utadhani sijui nini. Kuna mtu alikuwa anamfukuza nzi ukutani akadai "nzi wa mwanakijiji" LoL. Well wenzako wanasubiri kesho, mkifungiwa tena usilalamike kutakuwa hakuna cha BBC wala CNN.

Asante.

Naona music umeanza kunoga tayari, hata Bi. Senti 50 ameshindwa kuvumilia?

Bibie bora ungana na sisi kuucheza huu music, ukicheza vya kwako na peke yako watu watadhani umekuwa kichaa.
 
Mwanakijiji hiyo CD, usisahau kutuwekea vibao vya akina Kasim, mayasa na sisili. Enzi hizo, loooh!!! kivumbi na jasho, patashika nguo kuchanika.
 
Bi senti 50,
Hivi kweli unaipenda nchi yako kwa moyo wako wote????
 
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't miss... I hope they will keep their promise.

So, do you wanna dance?

Jamani muziki unachelewa sasa mpaka tunaanza kupoteza muda na mafisadi kina Dar Es Salaam (memba JF) AKA .... in the process.

Mkjj, weka vitu mkuu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom