A New Music FYI...

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,395
39,531
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't miss... I hope they will keep their promise.

So, do you wanna dance?
 
just ccnot wait for friday,hope you will keep the promise,also kudos for yesterday's promise to keep JF alive and on time
 
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't miss... I hope they will keep their promise.

So, do you wanna dance?

Hahaha Mwanakijiji you told em already?

Guys stay tuned!
 
Salaam.....

MKJJ, ngoja nikachukue kigoda changu kwa jirani nijiweke mkao wa kula, manake nina uhakika huo muziki lazima utakuwa boomba.......

"JamboF rocks" jamani!!!
 
Hahaha Mwanakijiji you told em already?

Guys stay tuned!

Invisible wekeni na time kabisa ili tusije tukakosa CD hiyo. Tatizo la hizo CD huwa zinakuwa na masaa maalum ya kukaa sokoni na hivyo ukichelewa tu ndo umeliwa unaweza kubaki unashangaa wakati wenzako wamechangamka wakiendelea kucheza halafu wewe ukawa hujui hata uanze kwa step gani!
 
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't miss... I hope they will keep their promise.

So, do you wanna dance?

Do you mean another evil CD like Richmond, EPA???????

No....NO....NO...NO.....

We need now Gospel CDs
 
Tunasubiri huo Music kwa hamu.

Salva lazima atahaha saana...... kuhakikisha yeyote atakae sikiliza CD hiyo ásiielewe.

Tuko tayari
 
Du! poa sana ila inakuwa vigumu kujiandaa kucheza maana hatujui ni mziki wa aina gani kwani kila muziki huwa una style yake. Hukawii kujiandaaa kucheza bongo flava na kukuta cd ni ya Rose Mhando
 
Ha ha haaaa huu najua utakuwa mziki mnene....

Eagerly waitin...
 
Du! poa sana ila inakuwa vigumu kujiandaa kucheza maana hatujui ni mziki wa aina gani kwani kila muziki huwa una style yake. Hukawii kujiandaaa kucheza bongo flava na kukuta cd ni ya Rose Mhando

Mkuu Shalom mbona siku hizi muziki wa Rose Mhando unapigwa na kuchezwa kama bongo Fleva? au wewe huendagi kwenye concert zake pale diamond? Kama bado, Jaribu utaona watumishi wa Mungu wanavyokata rumba! cha muhimu uvae viatu safi vya kuhimili ngoma!
 
Lugha za JF ni kiboko na kama hujazizoea kweli unabakia umetoa macho....tik tak tik tak tik tak
 
On friday, there will be a new CD released with several tracks for our members to enjoy for the weekend. If you are a journalist or somebody interested just to satisfy your curiosity, don't miss... I hope they will keep their promise.

So, do you wanna dance?

Ahaaa kumbe wewe ulimaanisha muziki kama huu wa COCOTEA?
nishakuelewaaa wewe uliamka zamani weee

2prsg7b.jpg
 
Hapa ni kama kinda la ndege lisiakapo mamiye anarudi kwenye kiota, linaachama midomo na kuangalia mbingu tayari kwa msosi..... ndivyo isubiriwavyo ijumaa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom