Kwanini ulisomea udaktari? ungesomea usecretary ili uendelee kuwa smart na kazi isiyo na hatari,hivi watumishi wengine wa serikali wakigoma kama madaktari nchi itatawalika?,kwa yaliyotokea hilo ni onyo na somo kwa madaktari ili mthamini na utu wa wengine eti kalete gloves! kwani huduma ni za bure! si analipa mgonjwa kwanza siyo mgonjwa anayenunua walio karibu yake au manesi wanafanya kazi hiyo na siyo daktari,eti kazi ya muhimu sana hivi mnajua kazi za muhimu nyie?.hivi kuna madaktari wangapi huko vijijini? ni sawa na hakuna wote wapo mijini wananchi wanakufa kama kuku huko vijijini hamuwatembelei na hata akifurukuta kuja mjini nako Israeli anamfuta kisa mgomo!mnakula nchi tu mijini,iko siku mkihamishiwa vijijini mnagoma na kuishinikiza serikali eheee hivi nchi hii yakwenu peke yenu,natak kulia R.I.P Dr. Ulimboka kama wale ndugu zetu wanavyokufa kule vijijini kama kuku mwenye mdondo.
Wewe wapi kisukali/kisukari? sasa mtu amechukuliwa na polisi halafu unataka taarifa apelekewe polisi? alitafutwa mtu wa msaada wa kisheria na Dr.Helen Kijo Bisimba ndiyo alikuwa mtu sahihi na ndiyo maana yeye alianza kwa kutoa taarifa vituo vyote ili polisi waseme wamempeleka wapi. Duuh kweli wewe KISUKALIHivi Hellen Kijosimba na hicho Kitengo chake ndio wapewe Taarifa ya kupote/kutekwa Mtu kabla ya Jeshi la Polisi ? Inakubalika kweli?. Hellen afike eneo la Tukio ndio waende Polisi!! Mbona Madaktari wantuletea Hadithi za kusadikika? Eti wasomi hao..........!!
Utasikia kujikosha anajidai serikali itagharamia matibabu yake apelekwe India..... hiyo ni baada ya kuona huyo bwana hakufa..... Madaktari kataeni asimwone... kwanza kwa hali yake hatakiwi kuonana na watu...wanaweza kumsababishia ugonjwa zaidi.
we should try to be analytical bhana, sio ku-connect dots zisizoleta image yoyote, after all taarifa zote hazina reliable sources.at this point we have more that 3 different conclusions mara oh polisi TISS bla bla . Serikali ndio inacheza fouls nyingi za aina hii ILA sio kwa staili hii bhana, ule ni mpango wa kipuuzi hata serikali ya kata flani huko namanyere haiwezi panga hivo.You guys wait you will get to learn about the whole things shotly
Wakati wananchi walikuwa wanasema CCM na serikali yake ni serial killer wananchi wengi hawakuamini,tuna madikteta wanaolinda utajiri wao na wana wao na wenzi wao kwa gharama ya damu za watu Mungu amewaaumbua Dr Ulimboka yuko hai na damu yake itakuwa tone la ukombozi ,Usalama wa Taifa waende wakatibu wananchi sasa