Boss wa Kipong Arusha bado anaozea Mahabusu, kimada wake, Michelle Mrema achomoka lokapu kiutata

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
88
281
Mkurugenzi wa Bar Maarufu ya Kipong ya jijini Arusha ,John Casian bado anashikiliwa na polisi Arusha, kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria huku kimada wake Michelle Mrema mtoto wa Bilionea Mrema,akitolewa mahabusu kiutata.

Casian alikamatwa Machi 16,mwaka huu usiku na mamlaka za serikali zikishirikiana na jeshi la polisi na kwamba baada ya kupekuliwa nyumbani kwa kimada wake alikutwa na shehena ya vinywaji feki ambavyo amekuwa akitengeneza na kuuza kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari MICHELLE MREMA ambaye pia ni Kada wa CCM,ni mtoto wa mfanyabiashara maarufu,Marehemu MREMA na kwamba MICHELLE amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Casian na amezaa naye mtoto mmoja wa kike licha ya kwamba Casian ana mke wa ndoa na watoto na amejiingiza kwenye biashara haramu kwa ushawishi wa casian

Habari zimedai kwamba asilimia kubwa ya Miradi inayoendeshwa na Casian zinaumiliki wa Mke wake Sia Casian, ambaye inadaiwa alichukizwa pia na tabia ya mumewe Casian kuwa na vimada nje ya ndoa.

Kutokana na Sia Casian kujiandikia umiliki wa miradi mbalimbali ikiwemo Bar ya Kipong,Casian aliona hapa hana chake badala yake aliamua kubuni biashara haramu kwa kushirikiana na MICHELLE ambaye pia alikuwa rafiki mkubwa wa Sia Mke wa Casian.

Kuachiliwa kwa MICHELLE kumeibua sintofahamu ukizingatia kwamba ni mhusika mkuu wa biashara hiyo haramu, hata hivyo baadhi ya watu walidai kwamba binti huyo anavigogo wazito wapo nyuma yake kiasi kwamba hawezi kufanywa chochote.

Pia waliokuwa wafanyakazi wa hoteli ya Marehemu baba yakeIMPALA HOTEL wakidai malipo Yao mahakamani MICHELLE aliwahi kuwatamkia wazi kuwa 'mtasumbuka bure na hamtapata chochote kwa kuwa jaji anayesikiliza kesi yenu ni Mshikaji wangu jambo lililowalazimu wafanyakazi hao kulalamika na kesi hiyo kupewa jaji mwingine. Jambo ambalo hata kwenye jambo hili la konyagi feki inadaiwa kuna vigogo wapo nyuma yake.

Hadi sasa haijulikani lini Casian atafikishwa mahakamani maana jeshi la polisi bado lipo kimya na uchunguzi.
 
Mbona umeandika kama wewe ndo Sia.
 
picha ya Michelle ili tuone kama kweli katolewa kiutata au la!
 
Acha tabia za uwongo aliekanatwa na cassian ni binti wa ray kishumbua ndio walikua wanapiga nae hiyo mishe.
 
Mtu kaenda Maabusu tar 16 March, leo ni tarehe 2 mnalalama, hamjui Tanzania nyinyi!!!???? Mwambi ndugu yako anaweza kaa hata mwezi humo ndani.

Wewe lazima una undugu na huyo Casian, mwambie aache upumbavu, Mama wa mtoto wake akitoka ni bora, na wakiwa ndani wa 2 haimsaidii kitu.

Mmoja akitoka ni heri, mnavyomuongea huyo Dada mnataman wote wawe ndani, mnafikiri wakiwa ndani wote wanakaa kama mume na mke?
 
Hicho ndo chuo gani mkuu wengine sisi tuko nduruma huku hatuelewi?
Wakati watu wanasoma wewe ulikuwa umetega pale jikoni kusubiri uji, hiyo ni UDSM, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu bora kabisa Afrika, achana na hivi vingine vinavyojiita vyuo vikuu, wakati ni Shule za Kata zilizochangamka
 
Mkuu mlimani ndo unapaita kilimani... Ok mkuu sio mbaya hata mm nilipita pale
 
Back
Top Bottom