Kama ni kweli Rais huyu dhaifu atakuwa anakosea sana,ni mapema mno kwake kufanya hivyo Hapo MMC pako hot sana,yote haya ni kutokana na kuwa na washauri dhaifu pia.anataka kujikosha halafu aseme atapelekwa india ili wakammalizie huko Ashindwe na alegee na adondoke chini akikanyaga maeneo ya muhimbili.
Duh ningekuwa nafikiria kama wewe hata 1/10000000000000000000000000000000, ningeomba israeli anichukue:sad:
Are u naive or plain stupid ? to fake so as to gain what ? for all those injuries sustained ?
Leo ataijua muhimbili huyu, anadhani Muhimbili kaitengeneza yeye? Kwanza Dr. Uli mwenyewe hawezi kuwa tayari kuonana mtu mnafiki++++++++
Meno katolewa bila ganzi, kucha kanyofolewa hali yake ni maumivu na anaendelea kupata wanachokipata wananchi waliowasusia matibabu.
hafifu
Dhaifu+ Hafifu =Halifu
Dhaifu wa maamuzi
Hafifu wa akili
Halifu wa matendo.
wewe kikwetu unaitwa Isembo!! unataka wafanye kazi hakuna vifaa hata gloves, wagonjwa wanalala chini x-rays na ultra sound machine hazifanyi kazi madoctor wafanyeje? pia zungumzia wabunge wanaotoa udenda bungeni mwisho wa mwezi wanaenda kuvuta 10,000,000/-wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
WOW, mnama, those highlighted words proves u r both......naive and plain stupid.....lini ulianza kufatilia mabadiliko mengi katika nchi tofauti?? au experience yako ni kwa Tanzania tu, na pengine hii ndo story yako ya kwanza kuisikia??....acheni upuuzi, msome articles mbalimbali, jitihada ambazo wanaharakati wa kweli wanazifanya kuinfluence mabadiliko...yeah i accept amesustain a lot of injuries, but HAJAFA...wengine, wanapanga hiyo kitu, na wanaaamua kuuawa ili kuokoa maisha ya wengi.....seriously, nasema tena, kama ingekuwa ni kazi ya serikali, ulimboka tusingekuwa naye tena....na huo ndo msimamo wangu.........
To make your story total and complete add this!!1. Afsa aliyekuwa naongea naye alimchukua alimuita kando akiwa hapo LEADERS CLUB! Na Ma Dr wenzake usiku huo.2. Baada ya kutoonekana wenzake hapo Leders Club waliwasilina na Watu wa haki za binadamu na kuwajulisha.3. Ma Dr wenzake this time wakina na Hellen Kijo Bisimba ... (manomuona hapo kwenye picha za DR ulimboka)... waliondoka na kwenda kuripoti kwenye vituo kadhaa vya polisi.4. Polisi wote walisema hawana taaarifa ya mtu kama huyo na walishauriwa kurejea subuhi .5. Asubuhi wakapata taarifa toka kituo cha polisi cha Tegeta kuwa ameletwa na wanchi waliomuokota njiani...6. Source ... Hellen Kijo Bisimba ...Mwanaharakati ...!!!
Mkuu hayo ni mawazo yake tuu ni kama mawazo yangu na yako hivyo usiwe mkali tufikiri kwa uhuruAre u naive or plain stupid ? to fake so as to gain what ? for all those injuries sustained ?
wewe umetumwa na nani?wewe ungekuwa na akili kuleta ujumbe wa wale waliokutuma bor mara 100 ungesema serikali inahusika kuliko kusema wananchi, so unamuua anaekutibu kesho atakutibu nani? So madk na manesi waache kuhudumia wagonjwa wote kwa vile mnawaua, hiyo serikali yako itabaki madarakani? Hata hujui kuwatetea waliokutuma, hapa serikali hawatoki, sijui hata mnapataje hizi kazi ilihali mnashindwa kufikiri cha kusema kwa mambo madogo km haya
Mkuu kwenyen red hapo nadhani humjui vizuri JK. hakuna raisi aliwahi kuwa na visasi kama tuliye naye leo.
Duuu Praise the Lord manake tupo very nervous kujua hali yake!!!
Mkuu umenena maisha magumu ni kwa kila Mtanzania...kila taaluma ina umuhimu wake.Watanzania wote tuwalaani madaktari kwa kitendo chao cha kinyama