msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 665
- 3,092
Suala la mtoto umependa tu mwenyewe ila ukitaka hata kesho unaweka tu 😎Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Nikipataga tu hayo mawazo narudia narudia hiko kipande wa BensoulBado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
At 30 bado ki Tanzania ni umri wa mtu kutafuta Maisha Boss so hata Kama huna kitu utatoboa tu,kwetu 30 ndio kijana huyo maji ya Moto wa gesi kabisaMaisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.
Sio pote pote ushindwe.
Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.
Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Yani una pa kuishi,kiwanja unacho na unamudu Maisha stress za Nini ? Mimi siku hizi sifikilii kuoa Wala kupata mtoto,hazipo Tena kwenye priorities zanguYaani wewe ni kama mimi 40 inaniogopesha zaidi isije nikuta bado niko niko tu kibachela
Sina mke sina mtoto kazi ninayo kiwanja ninako nyumba ninayo.
Lakini naona sijaiva kabisa nahitaji nibutue kweli kweli
Daah stress hizi
Dah!... sameheDingi ni dingi,yaani dingi ndiyo full kujali na kunipa moyo mwanaume mwenzie,nikiona upumbavu wa sijui Nani Kama mama,natukana kinoma moyoni yaani,wanawake wengi wangese Sana yaani!!..honestly simpendi,ndiyo maana sijampa binti yoyote jina lake na sitompa
Me kinacho niuma nisha pita kidogo hiyo age30 but still sina mtoto, sina mke wala hata mchumba wa kuzugia, hata nikipata vipesa nabaki kuvitapanya tu kwa kuwa moyoni nisha jiwekea kuwa me furaha yangu ni kuwa na mtoto hata kama nitakosa mari za kutupwa(utajiri) ila hata mtoto wa kusingiziwa bado.Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Mkui nina njaa ya mafanikio sana.Yani una pa kuishi,kiwanja unacho na unamudu Maisha stress za Nini ? Mimi siku hizi sifikilii kuoa Wala kupata mtoto,hazipo Tena kwenye priorities zangu
Hata nifikishe Miaka 59 sitowaza mtoto Wala mke,am better off on my own
Basi mimi na wewe tuwe kama mke na mume. Tutiane moyo wakati tunaikaribia 30.Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Hapo naweza kukuelewa Sasa Mkuu, pambana,usichoke, mzee wangu katoboa Ana Miaka 40,kabla ya hapo ilikua ile vijana wanaita Apache alolo Yani hakuna kituMkui nina njaa ya mafanikio sana.
Sijioni kama nimeafanya kitu.
Huku underground harakati nyingi sana nyingine zinabuma
Shemeji pole Sana,Cha muhimu ni kimoja tu,uzeeni tusiishi kwa tabu,Kuna member Fulani humu aliwahi kusema ni heri ataabike sahivi ila uzeeni aishi vizuriBado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Umenena!Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.
Sio pote pote ushindwe.
Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.
Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Hahaaa wasamee,ndiyo kawaida ukiwa huna kitu hakuna heshima!Nilipokua
Nilipokua kwenye huo umri,mipango ikavurugika,nikarudi home,wa kwanza kunionesha dharau ni bi mkubwa,akawafundisha na watoto wa wadogo zangu pale home kunidharau,hakutosheka..akawa ananijengea dharau kwa watu mitaani,usiombe huo msongo wa mawazo,nikaanza kubeti nipate hela niondoke,mungu siyo benard Morrison network yangu ikalipa,kwa Sasa Nina kipato kuliko kunguni yoyote kwenye ukoo,na huwa sijui Cha kumfanya no mkubwa..Ila bado Nina grudge nae