21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

Wiki ijayo tarehe 29/08 vumbi la kampeni litaanza rasmi kutimka.
Hivyo watanzania wamekaa tayari kusikilza sera za vyama 14 ambavyo vitaanza kunadi ilani zao.
Na, Octoba 29 watanzania watatumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura.
Hatuna muda wa kumsikiliza kidudu mtu.
Ndoto,ndoto za Mchana ni uongo!
 
mtu mzima mwenye heshima, familia na wajibu halali wa kujipatia kipata kamwe hawez kubebwa ufala wa kifikra na kupumbazwa na msukule mpotoshaji kama hamprhey polepole

hicho ni kiwango kibaya sana cha umaskini wa kifikra šŸ’
Tuna macho na masikio yamebebwa na kichwa,Wacha tuone na kusikia!
 
7b352fe4-344b-4863-90f8-5671214d3c21.jpeg
 
Nimesikia risasi moja aliyopiga kuhusu jinsi RA alivyopoka mgodi wa makaa ya mawe uliokuwa urejeshwe serikalini kwa maafisa wa serikali kupokea simu moja tu kutoka juu. Nikajisikia kizungu-zungu ghafla.

Vv
 
Simu moja tuu ikamaliza biashara
 
One hour to gošŸ’ŖšŸæšŸ‘ŒšŸæ
 
Km tayari Saa mbili ishafika

Polepole " Mama Sir 100 ndio alimuua Magu full, walishirikiana na Kikwetery. Walimlisha sumu...... "
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom