Mshana Jr
Polepole hata aseme Samia na CCM ni mashetani, hakuna Mtanzania atayezingatia....
Watanzania wapo kama nyumbu, wanaifuata hatari na kuangamizwa....
Wakishakuwa kifoni ndio wanatambua kwamba walikabiliwa na hatari, na sasa ni wafu wasioweza kuamka tena...
Mavuguvugu ya kuamsha uhai wa Watanzania yameshafanywa na wanasiasa wengi hapo nyuma tangu Mrema hadi Lissu, lakini wafu hawa wameendelea kulala katika mauti...
Kitu pekee kinachoweza kuleta mabafiliko ni CCM wenyewe huko ndani waamue kubadilika ama kama chama au kikundi fulani chenye nia dhahiri na njema kumeguka...