21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

Bwana Humphrey Polepole keshatuandaa vema kumsikiliza leo tar 21. O8. 2025.. Ni tangazo lenye hamasa kwamba litatokea jambo kubwa.. Kwa maneno yake ya siku za nyuma aliwahi kusema wasipomsikiliza basi ataongea ambayo hawatapenda kuyasikia

Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba leo tarehe 21. O8.2025 ndio inaweza kuwa siku ya kuizika rasmi CCM ama kuimalizia kabisa kutokana na yale atakayo yaongea
Je ataongea nini? Kuweka ramli chonganishi pembeni ataongea yaleyale ambayo siku zote yaliongelewa chini ya zulia ama kwa sauti ya China
Ataongea yaleyale ambayo hakuna chombo cha habari kilithubutu kuyaandika
Ataongea yale ambayo ccm iliyafanya kushinda chaguzi
Ataongea kuhusu mtandao ndani ya ccm, ambao ndio unaamua nani awe nani kwenye nini
Naamini pia ataongea kuhusu utekaji na watekaji, nani alitekwa alipelekwa wapi na kama yuko hai ama mfu.. Na alikoenda kutupwa ama kuzikwa

Kwa kifupi ataongea mambo mabaya waliyofanyiwa watanganyika chini ya utawala wa ccm! Na kwa vyovyote hayatakuwa na afya kwa chama tawala
Kuna hofu na kuna kejeli pia.. Hofu kwamba nini kitatokea baada ya mazungumzo yake! Kwamba atasababisha mtikisiko mkubwa utakaomaliza enzi za wana mtandao
Kejeli kwamba hana jipya na hakuna kitakachotokea.. Na kwamba akishindwa leo atakuwa amepiga mweleka mkubwa sana na kulipa nguvu zaidi kundi la wana mtandao
Baada ya mazungumzo yake inaweza kujulikana sasa nguvu yake ama walio pamoja naye na nguvu yao.. Ameamua kujivika mabomu ambayo kama hayatalipuka.. Taifa litaingia kwenye ukiwa mkubwa lakini kaka yakilipuka na kukosa upinzani wa uharibifu ndio itakuwa mwanzo wa ukombozi wa Tanganyika!

Yamebaki masaa machache Polepole kutengeneza historia mpya ya shujaa wa Tanganyika!
Tar 21 inaweza kuwa siku kuu Tanganyika.. A day to remember..
Tar 21 August inaweza kuwa siku maarufu zaidi Tanganyika na ikapewa kila aina ya slogan ikiwemo ya A DAY WHEN EVERYTHING WENT WRONG!

Mwezi August ulitabiriwa na watabiri wengi kama mwezi wa mtikisiko mkubwa ndani ya ccm! Tuna utazamia kuuona ukitimia...

Ni leo saa 2 kamili usiku, muda ambao ni wa taarifa za habari macho na masikio yatakuwa kwa Polepole.. Je kuna uhusiano wa kiroho kuhusu hii tarehe na muda aliouchagua!? Wanajimu kwenye hesabu za namba watatuambia.. 21.08.2025 02:00

Kumbukeni Akimaliza Polepole leo tutakuwa na mapumziko ya siku mbili kisha atakuja Gwajima. Ambaye naye ameahidi kuongea mazito na makubwa
Tuupe muda wakati...

View: https://www.facebook.com/share/v/19cuV4g9Qc/

Hili la waliotekwa akilisema vizuri litaleta Simanzi na hasira kubwa
 
HANA JIPYA AENDE AKAJIHARISHIE MBELE KWA MBELE! ( RADA ZINAONYESHA BY 60%YA MAONGEZI YAKE YATAIHUSU BANDARI,20% ZNZ,NA 20% WANAMTANDAO!
 
Narudia, hakuna watu rahisi kuwatawala kama chadema. We andaa vimada vyako vya kumponda jk au kutishia kuuangusha utawala wa Samia tu basi; utajipigia tone tone Hadi uvimbiwe🤣🤣🤣🤣

Slow slow kaiona fursa isiyo na jasho, kaikamatia.
Ohooo! Kweli sikio la kifo halisikii dawa...kalaghabaho!
 
mtu mzima mwenye heshima, familia na wajibu halali wa kujipatia kipata kamwe hawez kubebwa ufala wa kifikra na kupumbazwa na msukule mpotoshaji kama hamprhey polepole

hicho ni kiwango kibaya sana cha umaskini wa kifikra 🐒
Punguza hasira gentleman

Ova
 
Acha wafu wazike wafu wenzao.
ccm imekuwa chama cha wachache na kwa lugha ya Polepole "wahuni'
Acha kisarambatike tu ili kuiokoa Tanzania yetu shidi ya kundi la wanyanganyi
 
Miaka ya 90 Remmy Ongala alishaimba kuhusu CCM kuishiwa, akasema imekufa. Na kwa kuonyesha jinsi gani anaamini hivyo akatoa wimbo unaitwa Mrema, akimsifia jinsi anashughulikia walanguzi na wala rushwa.

Baada ya Remmy Ongala, miaka ya 2000 akaja Munishi, huyu alisema CCM imeishiwa pia na inasemekana ikabidi Munishi ahame Tanzania kwa misukosuko aliyopata kutokana na nyimbo zake. Wimbo maarufu wa Munishi ni Malebo.

Mwaka 2015, ikasemekana CCM imeishiwa na inazikwa rasmi kwa Lowasa kwenda Chadema.

Mwaka 2025 leo hii Mshana anasema CCM inazikwa kwakua Humphrey katoa tangazo.

Kama haujui historia unaweza tikiswa na vitu vidogo sana
 
Hivi katika zile siku alizotoa Gwajima zimabaki ngapi?... Wangeunganisha wakatoa press Moja ingekaa poa sana
 
Anamuuaje Rostam wakati JPM alikuwa anamkubali Hadi kumuarika Ikulu?

Polepole bhana anatakiwa kusikilizwa KWA Panorama ear.
Alirudishwa na kukamatwa ndugu yake jangili papaa kwa mpango maalumu alikuwa anashikilia mali za chama na serikali.

Leo ndio utajua kwanini walimrudisha kimkakati Rostam utawala wa Jpm, kumbuka Gabachoʻr alikuwa msimamiz wa channel, magic fm , mwananchi media, hisa za vodacom na kadhalika zote zilikuwa mali za chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom