Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,390
- 3,722
Tena kiporo ndo kinakuwa kitamu zaidi. Maana usiku kucha unakiwaza.Ninachojua hata wakizima content tutaipata ile ile labda tu kwa kuchelewa... chakula ni kile kile tofauti ni muda wa kula.
Tena kiporo ndo kinakuwa kitamu zaidi. Maana usiku kucha unakiwaza.Ninachojua hata wakizima content tutaipata ile ile labda tu kwa kuchelewa... chakula ni kile kile tofauti ni muda wa kula.
Mkzima switchMbona kimya mpaka sasa?
Utakula kiporo siyo?.....Ninachojua hata wakizima content tutaipata ile ile labda tu kwa kuchelewa... chakula ni kile kile tofauti ni muda wa kula.
Itabidi tumteke mzima switch maana anatutesa.Mkzima switch
Nili cancel shift kwajili ya Bwana MbiombioItabidi tumteke mzima switch maana anatutesa.
Hayuko seriousNili cancel shift kwajili ya Bwana Mbiombio
Mie nimeacha bakuri la kimpumu nusu nawahi lakini kumbe leo anatupigia Mziki tu.Nili cancel shift kwajili ya Bwana Mbiombio
Asante kwa taarifaYa zamani hii
Isije ikawa ndo 21st to remb.Ya Leo mpaka muda huu ni mziki wa kataa wahuni
Nimennua kakinywaji ka kusikilizia bomu hadi kinaisha sasa 😡Mie nimeacha bakuri la kimpumu nusu nawahi lakini kumbe leo anatupigia Mziki tu.
Inapatikana wapiYa Leo mpaka muda huu ni mziki wa kataa wahuni
Kwa hiyo hajaanza kuongea. Maana nimebanwa mkojo lakini sitaki kupitwa hata neno moja. Kimpumu ya leo ni tamuYa Leo mpaka muda huu ni mziki wa kataa wahuni
Sawa unasubiri nini sasa kama ni takataka. Maninaa zako.Takataka
Ongeza kengine litakulipia niko jilani na wewe, angalia kushoto kwako.Nimennua kakinywaji ka kusikilizia bomu hadi kinaisha sasa 😡