Mufupi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 945
- 908
Mkuu itikadi sio sura wala ngoz. Unaweza kuta hata wazazi wako ni chadema. Sasa sijui nawao watakuwa ktk vitoto vya 2000?Inaonekana chadema wengi ni vitoto vya 2000
Mkuu itikadi sio sura wala ngoz. Unaweza kuta hata wazazi wako ni chadema. Sasa sijui nawao watakuwa ktk vitoto vya 2000?Inaonekana chadema wengi ni vitoto vya 2000
Weee, watake radhi wazazi wangu. Kamwe hawawezi kuwa wazee wa hovyo kiasi hicho eti Cha kuwa nyumbu.Mkuu itikadi sio sura wala ngoz. Unaweza kuta hata wazazi wako ni chadema. Sasa sijui nawao watakuwa ktk vitoto vya 2000?
Tunakula wali tukimaliza tunaenda kuzika.CCM imezikwa au bado?
HahaMwengine yupi?
Naona leo unaliona chungu hilo Vieite la wizi wa hela za Tanganyika
Sioni hilo vumbi mpaka sasaWiki ijayo tarehe 29/08 vumbi la kampeni litaanza rasmi kutimka.
Hivyo watanzania wamekaa tayari kusikilza sera za vyama 14 ambavyo vitaanza kunadi ilani zao.
Na, Octoba 29 watanzania watatumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura.
Hatuna muda wa kumsikiliza kidudu mtu.
Kwani mkuu umesahau akina Oleg walikuwa na ngoz ya KGB lakin mioyo yao ilikuwa MI6/CIA? Kila kitu kinawezekana mkuu.Weee, watake radhi wazazi wangu. Kamwe hawawezi kuwa wazee wa hovyo kiasi hicho eti Cha kuwa nyumbu.
Kaingia mitini?..Tuweke link basi ukipata na sisi tusikilize
Unakopi na ku paste mada za wagonjwa wa akili ...rubbish kabisa. ManinahCopy & Paste from Setfree
Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna mwanasiasa mwenye utata, anayeitwa Lopelope. Alitangaza kwamba leo saa mbili atalihutubia taifa hilo "live." Watu walijiandaa kumsikiliza tangu asubuhi, wakakaa tayari mbele ya simu zao na kompyuta, wakitarajia kumuona "online" saa mbili kamili. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa – saa mbili ikapita, saa tatu ikapita, bado hajatokea. Hatimaye mitandao iliyokuwa imepanga kurusha "live" hotuba yake ikakata matangazo. Watu wakaingiwa na hasira na kuanza kulalamika: “Kwanini Lopelope hajatokea?”
Ndugu zangu, tukio hilo ni mfano halisi wa fundisho la Bwana Yesu. Biblia inasema:
“Kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa atakapokuja Mwana wa Adamu.” (Mathayo 25:13)
“Basi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu.” (Luka 12:40)
Yesu hajasema ni lini atarudi. Watu wengi wanataka kujua tarehe na saa, lakini hakuna anayeijua isipokuwa Baba wa Mbinguni (Mathayo 24:36). Kazi yetu siyo kujua tarehe, bali ni kukesha na kujiandaa kila wakati.
Fikiria waliokuwa wanamngojea Lopelope: walikuwa macho, walijiandaa mapema, lakini wakachoka, wakavunjika moyo kwa sababu hakutokea kwa muda walioutarajia. Vivyo hivyo, watu wengi leo wamepunguza bidii ya kumngojea Yesu kwa sababu wanaona kana kwamba amekawia.
Yesu atakuja ghafla, kwa siku na saa wasiyoitarajia watu, kisha kufumba na kufumbua atawanyakua wote waliotubu dhambi zao na kumwamini, na kuwapeleka mbinguni.
Kwa mantiki hiyo, Yesu anaweza kuja hata leo usiku. Hivyo tujiweke tayari kama wale wanawali wenye busara (Mathayo 25). Itakuwa kilio na kusaga meno kwa watu wasiokesha, maana wataachwa duniani; na dunia yote itapatwa na dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Copy & Paste from Setfree
Bwana Humphrey Polepole keshatuandaa vema kumsikiliza leo tar 21. O8. 2025.. Ni tangazo lenye hamasa kwamba litatokea jambo kubwa.. Kwa maneno yake ya siku za nyuma aliwahi kusema wasipomsikiliza basi ataongea ambayo hawatapenda kuyasikia
Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba leo tarehe 21. O8.2025 ndio inaweza kuwa siku ya kuizika rasmi CCM ama kuimalizia kabisa kutokana na yale atakayo yaongea
Je ataongea nini? Kuweka ramli chonganishi pembeni ataongea yaleyale ambayo siku zote yaliongelewa chini ya zulia ama kwa sauti ya China
Ataongea yaleyale ambayo hakuna chombo cha habari kilithubutu kuyaandika
Ataongea yale ambayo ccm iliyafanya kushinda chaguzi
Ataongea kuhusu mtandao ndani ya ccm, ambao ndio unaamua nani awe nani kwenye nini
Naamini pia ataongea kuhusu utekaji na watekaji, nani alitekwa alipelekwa wapi na kama yuko hai ama mfu.. Na alikoenda kutupwa ama kuzikwa
Kwa kifupi ataongea mambo mabaya waliyofanyiwa watanganyika chini ya utawala wa ccm! Na kwa vyovyote hayatakuwa na afya kwa chama tawala
Kuna hofu na kuna kejeli pia.. Hofu kwamba nini kitatokea baada ya mazungumzo yake! Kwamba atasababisha mtikisiko mkubwa utakaomaliza enzi za wana mtandao
Kejeli kwamba hana jipya na hakuna kitakachotokea.. Na kwamba akishindwa leo atakuwa amepiga mweleka mkubwa sana na kulipa nguvu zaidi kundi la wana mtandao
Baada ya mazungumzo yake inaweza kujulikana sasa nguvu yake ama walio pamoja naye na nguvu yao.. Ameamua kujivika mabomu ambayo kama hayatalipuka.. Taifa litaingia kwenye ukiwa mkubwa lakini kaka yakilipuka na kukosa upinzani wa uharibifu ndio itakuwa mwanzo wa ukombozi wa Tanganyika!
Yamebaki masaa machache Polepole kutengeneza historia mpya ya shujaa wa Tanganyika!
Tar 21 inaweza kuwa siku kuu Tanganyika.. A day to remember..
Tar 21 August inaweza kuwa siku maarufu zaidi Tanganyika na ikapewa kila aina ya slogan ikiwemo ya A DAY WHEN EVERYTHING WENT WRONG!
Mwezi August ulitabiriwa na watabiri wengi kama mwezi wa mtikisiko mkubwa ndani ya ccm! Tuna utazamia kuuona ukitimia...
Ni leo saa 2 kamili usiku, muda ambao ni wa taarifa za habari macho na masikio yatakuwa kwa Polepole.. Je kuna uhusiano wa kiroho kuhusu hii tarehe na muda aliouchagua!? Wanajimu kwenye hesabu za namba watatuambia.. 21.08.2025 02:00
Kumbukeni Akimaliza Polepole leo tutakuwa na mapumziko ya siku mbili kisha atakuja Gwajima. Ambaye naye ameahidi kuongea mazito na makubwa
Tuupe muda wakati...
View: https://www.facebook.com/share/v/19cuV4g9Qc/
kwa mantiki hii hakuna haja ya kupiga kura.Leo Polepole umesema jambo kubwa sana la namna kura zinavyochakachuliwa kimifumo. Integration ya mfumo wa CCM, Tume ya uchaguzi na NIDA ndo DUDE la kuibia kura.
Bila kubomolewa lile DUDE, CCM itatawala miaka 200 ijayo.
Ni ukweli ulio kweli kabisa, huku wana-ccm na wananchi tunaombwa kitambulisho cha Taifa (NIDA). Siku ya uchaguzi ni formalities tu, kura zinakuwa standby kusubiri minor adjustment kwenye mfumo ili watangaze mshindi.
Bila kupata wataalamu wa mifumo kutoka nje kwa ajili ya kufanya "Penetration Test" au "Systems Audit" kwenye DUDE kura ya mwananchi ni kama karatasi ya kuchambia haina thamani.
Wakikagua watu wa IT wa ndani baada ya zoezi wajiandae kuuma meno. Auditors lazima wawe na ulinzi wa taifa la nje na wakimaliza kazi zao wanatoa matokeo wanarudi zao kwao.
Polepole nimemsamehe madhambi yake yote kwa leo kuusema ukweli huu mchana kweupe. Naamini hata mbingu zitamsamehe. Maana amegusa kwenye afya ya Taifa juu ya haki
Bila hilo DUDE alilolianika Polepole kuondolewa au kufumuliwa kwenda kupiga kura wataenda wale makondoo na mambuzi. Wanaojitambua wasio wanufaika hawezi kupiga kurakwa mantiki hii hakuna haja ya kupiga kura.
na kumbe ndiyo maana biongozi wengi wa kuchaguliwa hasa wa chama tawala wanatuvimbia sana raia hadi kutuita kenge kwa sababu wanajua hatuna mchango wowote kwa wao kuwepo kwenye nafasi zao.