comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,587
- 17,749
Labda wale wa Kawe wanaovuka barabara wenyewMbuzi 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣Labda wale wa Kawe wanaovuka barabara wenyew
Ana mambo km aliishi Buguruni
Mashabiki zake wa jf wanasema wc sio ishu
View: https://www.instagram.com/reel/DZiPY15MCbO/?igsh=N2VrdnB4MnBtb3o=
Mimi simdai kitu.Mimi GOAT wangu nilikua namdai wedikap, akaichukua 2022 maana ndio kilichokua kimebaki, wewe wako Bado unamdai na hiyo inakupain sana kwenye uwanda huu wa soka la DUNIA kuona kashazeeka ndoto zimezama.
Nice progress man, keep pushingPicha tu umeumia hivi hadi kutaka kunipangia cha kufanya.
Gazeti lako hili linaonyesha uliyoyajaza ndani yako.
Cry more Anko.
🤣🤣🤣🤣 Hii Kali sijawahi kusikia, kumbe kipimo cha kua MCHEZAJI mzuri ni kucheza serie A na premier league 😁😁😁Mimi simdai kitu.
Labda huyo GOAT wako ili aweze kukaa kwenye uzani sawa na Ronaldo at least akacheze EPL na a-maintain ubora
Akitoka hapo aende Italy kwenye ligi yenye mabeki wagumu aka shine na huko.
Baada ya hapo akachukue na UEFA 3
Hapo tutakuwa sehemu sahihi kufanya comparison.
Sasa kama top league ndio zinazotoa ushindani wa juu kwanini hiyo isitumike kama factor?🤣🤣🤣🤣 Hii Kali sijawahi kusikia, kumbe kipimo cha kua MCHEZAJI mzuri ni kucheza serie A na premier league 😁😁😁
Nice progress man, keep pushing
Mngefika kwenye penati shootout na mkashinda, hii kauli isingekuwepo licha ya performance kuwa mbovu.View attachment 3634742
Ukweli ni mmoja tu na hakuna kichaka wala kona.