Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Picha ya siku
Mama mkanye mwanao siyo?🤣Huruma sio malezi..
Oyazabal leo mechi imemkataaSpain wangekuwa na mastriker level ya David Villa au Ferdinand Torres hii mechi wangeimaliza mapema sana.
Jamani😅😅😅😅Ukome kushabikia wazee. Poleee bibie
Mama mkanye mwanao siyo?🤣
Huyu mwamba kiungo ila mapochi kama yake ya kimkuta kwenye box hakuachi.Mapochi kama haya Arsenal kafunga sana.Picha ya sikuView attachment 3623979
Hamna kitu bhana usitupigie keleleYou fought hard today but it didn't go well
View attachment 3623980
Wewe ni muoga ulikimbia.
Uchungu!!!! Tema🤣🤣🤣Nimesikia uchungu kwa ajili ya Ronaldo..
Ila nilitamani tu Spain ishinde..hakuna namna
Morocco anatoka unataka aende wapi?Hapa akitoka na Morocco daah magoli sana
Msipigane tunimezima tv, hapa tunabishana