Rwiziringa Tactics
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 859
- 1,776
Hp ht ukiambiwa kanye mtoni leo utaenda tu wala hutojali uwepo wa mambaTumeumbwa kusahau jamani…View attachment 3623988
Hp ht ukiambiwa kanye mtoni leo utaenda tu wala hutojali uwepo wa mambaTumeumbwa kusahau jamani…View attachment 3623988
World cup ni shughuli pevu.Jamaa anastaafu bila wc
Kuna GOAT na GOT.Sio GOT ni GOAT
Sub za kocha zilikuwa za hovyo sana.Mpira bhana, hii combo imeshindwa kufanya kaziView attachment 3623989
Sawa sisi tunaondoka lakini kumbuka tumeacha vimeleaMashabiki wa Ronaldo haya usafiri wenu huu hapa tokeni na Goti wenu mtuachie uzi wetu
View attachment 3623987
Made in china😆😆😆Mpira bhana, hii combo imeshindwa kufanya kaziView attachment 3623989
🤣🤣🤣🤣🤣Naiombea Marekani mabaya yote.
Saa sita hii wanga mshaitanaKombe la Dunia sio tende kwamba kila mwarabu atakula.. ngamia pori gudubai
#Hallelujah!!!
Wewe pia si huwa unamshambulia Messi au umesahauWachambuzi wa JF bwana, yani uchambuzi wao wote wameuelekeza kwa mchezaji mmoja.
Ni kama ilikuwa ni Spain vs Ronaldo.
"Where we dare to to speak openly"
Haya bana uwanja wenu huu tutasikia mengi leo.