Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,683
- 130,504
Mi kama die fan wa shabiki wa Ronaldo kiukweli sina tatizo kabisa na Messi
Tatizo langu kubwa siku zote ni ule upendeleo wa FIFA na injustice wanayofanya.
Messi na Ronaldo wote ni wachezaji wazuri, most talented and gifted football stars. Lakini hata hivyo kuna mmoja amekuwa protected sana na mifumo wakati huyu mwingine ni mpaka apitie misoto ya changamoto ndio apate hiyo recognition.
Of fourse nakubali kuwa ubora unapaswa kushangiliwa na sio sawa kutumika kama instrument ya kugawanya.
Uwe shabiki wa Ronaldo au Messi, wote tunahitaji kuwaona hawa viumbe kama role model and source of motivation, kwenye real life hata katika ulimwengu wa soka.
Kwangu mimi, nimechagua kum idolize yule ambaye alisimama against an entire system na bado aka out perfom na kuwa kwenye kilele cha juu cha ubora.
Namchagua mtoto mwenye umri wa miaka 12 aliyetokea kwenye kisiwa cha Madeira Ureno akiwa hana kitu, na kwenda kuwa bilionea wa kwanza kwenye historia ya mpira wa miguu kupitia kipaji chake.
Mwisho wa siku, I don’t take pleasure in someone’s pain or downfall. But the way some of you take pleasures in Cristiano Ronaldo’s down falls speaks volumes.