2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

In case you missed all the angles he cried yesterday.

FB_IMG_1784658521222.jpg
 
May all my Ronaldo fans never run out of gas when cooking Messi
FB_IMG_1784658624704.jpg
 
Huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wanaosema mimi nina chuki na Argentina pamoja na Messi.

Hawa ni wachezaji wa Argentina waliowahi kumfanyia mockery Kylian Mbappe kwenye World Cup ya 2022.
FB_IMG_1784658766253.jpg



Tusisahau kwa wakati huo Messi alikuwa ni teammate na Mbappe tena kwa wakati huo akiwa captain wake kabisa huko PSG lakini alisimama akimuangalia Martinez akimdhihaki Mbappe bila kusema kitu.


That’s why the hypocrisy is so disgusting.
 
View attachment 3634472

Ni ndoto ya kila mwanandinga kushinda kombe la hadhi ya juu zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Ni vyema lakini kuweka na clarification inayoelezea stats za mchezaji ili umma upime ni kwa kiasi gani performance yake imekuwa na mchango wa kushinda kombe hilo.

Pedri amekuwa bench warmer for almost every single game of the entire tournament.

Kwa hiyo kwenye hiyo ndoto unayoisema l labda kama haitazingatia takwimu, iwe tu imerukia kwenye matokeo ya mwisho.

Na kwa msingi huo, kweli hiyo ni ndoto.
1784666368270.jpeg
 
Taratibu naona mmeanza kusogea mmoja mmoja.

Leo umeanza na post moja, keep going bro that's big progress I can say.

Kesho unaweza kuachia mbili mpaka tatu kulingana na hali ya majeraha maana vidonda najua bado ni vibichi.

And I promise you, when you post it I will be there to congratulate for the little step that you've made.

Nyie ndio mfano halisi wa ile kauli maarufu ya "time heals"

Baada ya game ilionekana ngumu sana kutegemea kuona hiki ulichoweza kukifanya leo.

Could you give us some tips, so maybe we can help other brothers too who shared the same pain but don’t seem to have recovered yet?

Da'Vinci herman joshua ombeni maujanja hayo kwa jamaa sio mpaka mimi nijiongeze.

Nitawasaidia mpaka lini? Kuna muda na mimi nitakuwa nachoka, jiongezeni.
 
Back
Top Bottom