2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Screenshot_20260719_104506_Instagram.jpg


Goat wetu wa kireno asijali, kwa utajiri alionao anunue hizi Pete 5, kwahiyo itakua kamzidi messi ubingwa wa Dunia itakua kachukua X5
 
Tangazo kwa Umma:

Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.

Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.

Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.

Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.

Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.

Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.

Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon d’or tunalitaka.

Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.

Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
IMG_0890.jpeg
 
Back
Top Bottom