Kweli chuki Haina sababu. Messi kwa yote aliyofanya unaanza vipi kumchukia? Messi ametupa burudani zote zile na still kuna mtu ana chuki naye.
TokaKweli chuki Haina sababu. Messi kwa yote aliyofanya unaanza vipi kumchukia? Messi ametupa burudani zote zile na still kuna mtu ana chuki naye.
Messi sio beki labda tuseme unamchukia kwa rafu zake , sio mgomvi ila mchezaji ambae amepigwa sana rafu na mabeki na still yupo humble.
Kumchukia messi ni sawa na kuuchukia mpira au mkuu wewe mpira hupendi maana si kwa chuki hizi
Inatia uvivu kuangaliaHii game ya England vs Frace haina vibe kabisa
Wewe inaonekana mpira huupendi, enjoy football mkuu . Football ni kwa akili ya kuenjoy sio kukunja nditta 😀
TokapaWewe inaonekana mpira huupendi, enjoy football mkuu . Football ni kwa akili ya kuenjoy sio kukunja nditta 😀
Yeah ni nzuri. Sema mechi za mshindi wa tatu hazinaga vibeNi mechi nzuri sana