Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,358
- 4,078
Tuchel ni ndezi yaani madueke anampiga benchi saka.Hivi hawa simba watatu wangeanzisha hiki kikosi kipindi kile na matokeo bado yangekuwa yale yale tu?
Tuchel ni ndezi yaani madueke anampiga benchi saka.Hivi hawa simba watatu wangeanzisha hiki kikosi kipindi kile na matokeo bado yangekuwa yale yale tu?
Safi sana mkuu.Rashid tunataka kuuona huu muendelezo pale OT
View attachment 3632314
NalalaSafi sana mkuu.
HongereniSisi 2 tayari
Utaumia sana, unataka amfikie Messi 😂
Mbappe afunge tu hata mbili.Ufaransa waombe tu mechi iishie kipindi hiki cha kwanza. Wanaaibishwa bure