2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

🚨BREAKING: Kylian Mbappe anakuwa mchezaji wa kwanza kuwa na magoli mengi kwenye World Cup
FB_IMG_1784450897195.jpg
 
Tangazo kwa Umma:

Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.

Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.

Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.

Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.

Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.

Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.

Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon d’or tunalitaka.

Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.

Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
IMG_0890.jpeg
 
View attachment 3632486
Yah! Tangazo limekaa kitaalam kabisa Mtani.
 
Unaanza kujitibu kisaikolojia mdogo mdogo.
Ila mkilikosa mtaumia sana hakika.
 
Ashatoa maagizo kwa FBI kuwa nongwa zao zianzie namna State walivyopata nafasi ya kuandaa mashindano.
Mimi ni shabiki namaba moja wa Argentina na tuana undugu mzuri na Raisi wao.
Mimi ni Argentina na Argentina ni NETA.
FB_IMG_17838502028048591.jpg
 
Tangazo kwa Umma:

Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.

Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.

Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.

Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.

Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.

Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.

Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon d’or tunalitaka.

Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.

Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
View attachment 3632486
Ugomvi wa ndugu wa damu huu, wasije kuingilia watapata manundu bure.

#Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom