Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,362
- 10,416
Almanusra ile kwenuView attachment 3632365
Ubao unapendeza sana
Almanusra ile kwenuView attachment 3632365
Ubao unapendeza sana
Umeambulia mkuuView attachment 3632365
Ubao unapendeza sana
Hakika nimeyaona kwa macho yangu ya nyamaUmeyaona mabao kumi?
Usiku huu?Ngoja nijiandae na ibada ya kwanza sasa
Hii ndo mechi yenye mabao mengiAisee
Ila yake uliyoyashangilia wewe ya Mbappe sijapendezwa nayoHakika nimeyaona kwa macho yangu ya nyama
Watu mnapenda kuumia bureAll in All...
Naitakia ushindi Spain
Kwanini sasa mkuu🙄Ila yake uliyoyashangilia wewe ya Mbappe sijapendezwa nayo
Au sio 😂😂Mechi za mshindi wa tatu ziwage hivi. Kushambuliana tu tuone magoli. Ikiwezekana mabeki wasiwe wanacheza😁
Wallah yule babu ananizaa🤣Daaah
Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini MessiKwanini sasa mkuu🙄
Kwamba unang'ata mara mbiliHujawahi kunielewa wewe
Tusubiri na tuone🔥Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini Messi
Mimi ni team Messi huko kwingine ni kutembea tembea tuKwamba unang'ata mara mbili