Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,369
- 10,416
Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini MessiKwanini sasa mkuu🙄
Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini MessiKwanini sasa mkuu🙄
Kwamba unang'ata mara mbiliHujawahi kunielewa wewe
Tusubiri na tuone🔥Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini Messi
Mimi ni team Messi huko kwingine ni kutembea tembea tuKwamba unang'ata mara mbili
Ngoja tuoneSawa game ya usiku wa leo karibu kiti chako kipo mbele kabisa utasaidizana na uran kuleta burudani
Una maanisha nini mkuu?Hamna kitu humo
Messi asipopata kombe basi hata tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ipo .Goli la 10 Kwa mbape
Messi Haiii nakusalimia👏👏👏
Messi : camera wowo, andapacha wowo
Nilitaka kushangaa,mtu ambae ulisema kuwa unamkubali Ronaldo sababu ni Handsome,ana mapaja mazuri na mrefu,utashabikiaje Argentina.SPAIN wako anaenda kugongwa leo.Leo tupo Spain
For sure maybe aamue kutundika daluga tuHuyu Messi hata 2030 atacheza.
Ukichimama mshale ukikaa mchaleMashabiki wa ronaldo leo hatuna kichaka, akishinda Messi shida, wakishinda vijana wa Barcelona pia shida
😆😆😆 Kuna jamaa kaachia distrack Kwa cr7 na mashabiki wake inatrend kinoma
Tunaumia sana team penduUkichimama mshale ukikaa mchale
Mnooo born to be greatDuuh nyota ya dogo ni kali sana aiseee