ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,874
- 46,651
Kumbafuuu kijanaKuna mtu hapa amesema Ufaransa atakimbia na chupi mkononi sasa sijui anamaanisha nini
Kumbafuuu kijanaKuna mtu hapa amesema Ufaransa atakimbia na chupi mkononi sasa sijui anamaanisha nini
Habari nyingine mbele ya Messi?Huyo kocha msxnge sana, saka angekuwepo ile siku, ingekuwa habari nyingine
Wahuni wanamsubiriNatamani hata baada ya hapo asirudi Uingereza, apitie huko huko tu
fifa walimkataza asianzishweHuyo kocha msxnge sana, saka angekuwepo ile siku, ingekuwa habari nyingine
fifa walimkataza asianzishwe
Hongera mzee mkubwa, umeokota chochote kitu si haba.Mi naona ni mechi nzuri tu.
France wanaplay low
Wana laana ya N'Golo Kanté.Ufaransa wakati kombe la dunia linaanza walikuwa wanatisha sana ila wanamaliza kibwege kabisa
Acha basi Kante laana azitolee wapi wakati wenyewe tu wabovuWana laana ya N'Golo Kanté.
#Hallelujah!!!
Bado mojaMbappé anasajili goli la 9 pale.
#Hallelujah!!!
ZinarudiHeh jamani zitarudi au?