DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,007
- 11,583
Hivi tukiweka ushabiki pembeni kati ya Ramadhan Chobwedo na Cristiano Ronaldo yupi mchezaji bora? 😅🤣😂
I agreeI'm a Ronaldo fan but I will always say the truth when I see it. Although I love the way Ronaldo plays, his dribbles, free kicks and other stuff he does....but everyone knows the truth that messi is better than bruno Fernandez. 🤣🤣😂😂😂
No broh, I'm seriousSarcasm at it highest
Huku ni kumkosea Cristiano, ama labda uwe unachangamsha jukwaa tu.Hivi tukiweka ushabiki pembeni kati ya Ramadhan Chobwedo na Cristiano Ronaldo yupi mchezaji bora? 😅🤣😂
Duuh nyota ya dogo ni kali sana aiseee
Mara ya mwisho naongea nae aliniambia ananishukuru kwa kila kitu,Yule jamaa mbishi mbishi kakimbia hii post naona😆
Scars kakimbia mazima😆Nani huyo?
Alikua anaishi kwa tabu sana, hivi unawezaje kumchukia Messi vile?😃Mara ya mwisho naongea nae aliniambia ananishukuru kwa kila kitu,
Sijui hali yake huko 😂 💔
Ila maisha bana 🤣.
Hii siyo AI. Ni picha ya kweli kabisa.
Hapo ni Messi akipiga picha na Lamine Yamal akiwa kama vile anamuogesha.
Nadhani ilikuwa mwaka 2005.
Jumapili wanakutana MetLife stadium kama ma superstar wa timu zao katika fainali za kombe la dunia 2026!
View attachment 3630710