Hamna kitu humoMkuu Mbappe bado atacheza mechi ya kumtafuta mshindi
Scars kesho upo upande gani mkuu maana Spain ulisema una hate watch na huku kwa Messi ndio kabisa hutaki kupasikia 😄 au Bora kombe liibiwe.Spain mnawa hype sana wazee yani sijui kwakuwa yupo Lamine au nini ila ngoja mi nitakuwa na hate watch siku hiyo
Binafsi aliniumiza sana, hadi nawaza labda ni kwa sababu timu yake ya taifa ishatoka hivyo anafanya kusudi kutufelisha piaHiki cha leo kiko vizuri.
Tuchel alitukosea sana ile siku.