comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,133
- 16,172
Misri anapigwa kama sio 3 basi 4Mbona mmeanza kujitetea Sasa, hakusema hivi mapema
Misri anapigwa kama sio 3 basi 4Mbona mmeanza kujitetea Sasa, hakusema hivi mapema
Forever and alwaayyysssssssssssss💕💕💕
We kichwa hatukutaki baki hukohuko bondeni kwenye majonzi. Team messi sisi ni furaha tu hapo Yamal anamgonga tu kufanya aongelewe ila hamkubali wala nini
Tupo pamoja mzeeLeo niko misri na kina salah hawa wabaguzi akina leo messi wapigwe tuu kubaabake
Wamekukosea nini mzeeKwenye world cup hawa watu wawili
Argentina na spain wananikosesha raha kabisa, watolewe kwa namna yoyote ile
😂😂😂 ila weweMsihuzunike sana fifa itawatafutia penati nyingine
Bestie I Miss you.Refaaaaaaaaaaaaaaa baada penat ya mchongo bado red card 🤣🤣🤣🤣
Ni nani huyo aliyewahi sema hvyoUkishakuwa mchezaji wa Barcelona swala la kumkubali Messi linakuwa ni swala la lazima.
Ila mioyo yao inakuwa inajua ukweli ndio maana wengine wakishaondoka wanakuja kusema ukweli kuwa walilazimika.
Me ni Team CR7 mkuuWamekukosea nini mzee
Haiwezekani hapo lazima mmoja arudi nyumbaniKila la heri yeyote
Upo mwenyewe 2Sisi Wa Argentina tutawarudisha kanaani
Hivi hakuna mashabiki wa Argentina humu?
Leo naona Argentina inaaga. But ilimradi Ronaldo ashatoka sawa tuMechi iendelee
Haki ya Mungu wacha tu nikae kimya
Teh teh 😃 😃 wewe ni 'Messi Critic'...unafahamika..Taratibu mnajionea kwamba mimi nilikuwa nasema ukweli.
Sio lazima ukubaliane na mimi kwa kuni quote ila kuna namna unanielewa ila ndio hivyo huwezi kusema.