2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ni nani huyo aliyewahi sema hvyo
Kweli kwa yote yanayoendelea saizi kwenye Afcon umeona mjadala wa kujadili ni mchezaji aliyewahi kutoa kauli hiyo?

Ina maana kwenye huu mchezo huoni kabisa mada ya kuzungumzia?

Sawa, hilo swali lako liweke kiporo wacha tumalizie mechi kwanza huwenda majibu yake mengine tukayapata kwenye mechi hii hii.
 
Back
Top Bottom