T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,780
- 46,595
Mechi itakuwa na ushindani as long as Egypt wameanza kufunga. Itakuwa nzuri hawaogopani hawa, uchezaji wao wa mechi za nyuma unaonyesha hivyo.
Shida ni nidhamu ya kushikilia bomba na kuendelea kupeleka moto ili kupunguza hatari zaidi golini kwao. Hawatakiwi kulinda hili goli moja sasa hivi bado mapema mno.Wakaze watafika mbali
Peke yako 😂Sisi Wa Argentina tutawarudisha kanaani
Hivi hakuna mashabiki wa Argentina humu?
Jiachie mama, damu ya kiarabu ni damu yenye baraka na pure kabisaNaogopa hata kufurahia, maana timu za afrika mmmh
Lakini tusiwe watu wa kukosa shukurani.Hapo ndipo tunapofeli...daah
Ni kweli kabisa mkuuShida ni nidhamu ya kushikilia bomba na kuendelea kupeleka moto ili kupunguza hatari zaidi golini kwao. Hawatakiwi kulinda hili goli moja sasa hivi bado mapema mno.
Heh aiseeePeke yako 😂
PenaltyArgentina dah