Heheheeeee hukosagi sababu . Afu unasema humdai kitu, tunamdai kombe la duniaWazee wa mbeleko haya malizieni mechi zenu za AFCON
Heheheeeee hukosagi sababu . Afu unasema humdai kitu, tunamdai kombe la dunia
View attachment 3624112
Mdogo mdogo😀😀Sasa naelekeza nguvu zangu kwa Colombia naamini atapeleka msiba argentina
Mtoto kamtoa jana Mendes kwa msuli😀😀Kijana anamuaga G.O.A.T wake wa ukweli ukweli kwa adabu na heshimaView attachment 3624117Dhambi zote za Yamal wapewe mashabiki wa Fifa Princess
I'm backUnatumia nguvu nyingi saña kuuaminisha umma kwamba "Ronaldo is the best".
Messi anajipambania umaarufu wake, matendo zaidi.
Ronaldo anapambaniwa umaarufu wake, matokeo kidogo.
Wako kama yatima🤣🤣🤣Kwahiyo mashabiki wa yule Mbuzi watahamia kuishabikia Misri?
Au bado wanajitafakari?
Yes, naona kabisa Argentina anamfunga Egypt na Colombia atamfunga switzerland...Kwenye Semi?
Lilikuwa ni suala la muda tu🤣Canada
Mexico
USA
Asanteni kwa kushiriki.
We kichwa hatukutaki baki hukohuko bondeni kwenye majonzi. Team messi sisi ni furaha tu hapo Yamal anamgonga tu kufanya aongelewe ila hamkubali wala niniAm New Yamal fan. Dhambi zote za Yamal upewe Wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3624115
Argentina hao anakutana nao sana kwenye mechi zao za ukanda wa bara lao so hawawezi kumsumbuaYes, naona kabisa Argentina anamfunga Egypt na Colombia atamfunga switzerland...
Colombia na Argentina wakikutana lazima argentina arudi nyumbani
ukweli upi nmeukataa hapo..?Mechi zote walizokutana, Man of the match alikuwa Nuno Mendez
Mapenzi yasikufanye ushindwe kuuona huu ukweli.
Lamine Yamal might be the biggest Ronaldo fan you know, but he can’t express as he plays for Barcelona.Kijana anamuaga G.O.A.T wake wa ukweli ukweli kwa adabu na heshimaView attachment 3624117Dhambi zote za Yamal wapewe mashabiki wa Fifa Princess
Acheni kujipendekeza kwa Yamal hamkubali Ronaldo wala nini. Amefanya hivyo ili kuuza sura aongelewe. Naona mnataka kuhamia upande wakeLamine Yamal might be the biggest Ronaldo fan you know, but he can’t express as he plays for Barcelona.