Labda mwaka huu, wameshapigwa goli la mapema na Cameroon mwaka 1990 na limedumu mpaka mwisho.Argentina hawajawahi shindwa come back.
Mungu sio mpare jamani
Kheri goat wote watoke, tubaki na goat chipukizi babe Mbappe 🥰🥰
Mechi bado mno hii. Argentina wanacheza timu nzima, sio Portugal ametoka Nunez timu imepotea kocha sijui yule walimuokota wapi.Leo naona Argentina inaaga. But ilimradi Ronaldo ashatoka sawa tu
Mbona hii kakosa?Messi kufunga kwa free kick ni rahisi zaidi kuliko penalty
Ukosaji wake umeuona?Mbona hii kakosa?
Leo naona Argentina inaaga. But ilimradi Ronaldo ashatoka sawa tu
Tehe! Hii ni penaltyMbona hii kakosa?
WC nilotazama ni kuanzia 2010. Kwingine nawaona Copa America.Labda mwaka huu, wameshapigwa goli la mapema na Cameroon mwaka 1990 na limedumu mpaka mwisho.
Kukosa ni kukosa mkuu, usiirembeUkosaji wake umeuona?
MI sijambo kabisa best. 🥰Miss you too Bestie 🥰🥰 Hope u mzima kama tambo za mashabiki wa Messi bila maumivu kama ya sie mashabiki wa mbuzi wa ureno
Boss unaangalia bolu na kisirani dhidi ya KING LEO😃 Unafurahisha sana shabiki wa Nyumbu.Kuna wale cowards hapa huwezi kuwaona saizi wanasubiria Gianni Infantino afanye kitu ndio warudi waanze kuleta kelele.
Anajikosesha penat makusudi baadaye afunge kawaida apunguze maneno kama world cup iliyopitaMessi kufunga kwa free kick ni rahisi zaidi kuliko penalty
Washa sola usipitwe na uhondoTANESCO