Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,292
- 14,678
Wakaze watafika mbaliMafarao wameanza vizuri.
Wakaze watafika mbaliMafarao wameanza vizuri.
Wasirudi tu nyuma kama ndugu zao kina CongoNaogopa hata kufurahia, maana timu za afrika mmmh
Wewe jamaa unajulikana michuki yako na Waarabu hivyo hatushangaiArgentina nipigie PAIPU hao mafirauni mpaka nifurahi.
We upo upande ganiMda bado 😭
Hapo ndipo tunapofeli...daahSema hawawezi kushikilia bomba hawa
Argentina dahWe upo upande gani