2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

IMG-20260707-WA0029.jpg
 
Acheni kujipendekeza kwa Yamal hamkubali Ronaldo wala nini. Amefanya hivyo ili kuuza sura aongelewe. Naona mnataka kuhamia upande wake
View attachment 3624149
Tumeona wachezaji wengi waliowahi kucheza Barcelona waliokuwa wakisema idol wao ni Messi.

Lakini baada ya kuondoka hapo waliwahi kudai kuwa walilazimika kukubali ili waweze kucheza Barcelona.

Lamine Yamal ni kweli aliwahi ku declare kuwa idol wake ni Messi lakini hizo factors hapo juu zinaweza ku reflect ukweli.
 
Je, ulijua kuna wachezaji kadhaa wa World Cup 2026 ambao baba zao pia waliwahi kucheza Kombe la Dunia? 🌍⚽

Mfano:

✅ Erling Haaland – Baba yake Alf-Inge Haaland aliichezea Norway kwenye World Cup 1994.

✅ Marcus Thuram – Baba yake Lilian Thuram alikuwa bingwa wa World Cup 1998 akiwa na Ufaransa.

✅ Justin Kluivert – Baba yake Patrick Kluivert alikuwa nyota wa Uholanzi.

Lakini hawa sio pekee. Kuna wachezaji 10 wanaoendeleza urithi wa familia zao kwenye World Cup ya mwaka huu.

Nimewaorodhesha wote pamoja na historia zao hapa 👇
htFollowing Legends: 10 World Cup 2026 Stars Carrying Their Family Legacy://
 
TANGAZO KWA UMMA

Sisi kama mashabiki wa Messi na Argentina tunatangaza rasmi kuwa mashindano ya World Cup 2026 yameisha jana baada ya Mbuzi Pori kufurushwa mashindanoni.

Hata sasa tukitolewa hatutakuwa na deni maana lengo letu limetimia kwa Mbuzi Pori kutokuchukua taji la mashindano haya.

Tunawatakia mabaya yote mashabiki wa Mbuzi Pori watakaokuwa wanahamia kwa Mbappe kimya kimya.

Imetolewa na Mashabiki nguli wa Messi na Argentina.
IMG_0784.jpeg
 
We jamaa huwapendi hawa Waarabu kwanini?..

Morocco forever

Proved Muulize comrade_kipepe tangu ameanza kuwachukia waarabu amepata faida gani??? Akiwachukia, akiwabagua na kuonyesha roho mbaya haiwapunguzii chochote,, kama ni hela wanazo, sasa ukiwasusia ama kuwachukia itakusaidia nini 😄😄

Mwanaume unaonyesha hisia kwa mwanaume mwenzio kweli!!!! hahaaaaa aibu gani hiyo!!!

Mwilage lolo mami
 
TANGAZO KWA UMMA

Sisi kama mashabiki wa Messi na Argentina tunatangaza rasmi kuwa mashindano ya World Cup 2026 yameisha jana baada ya Mbuzi Pori kufurushwa mashindanoni.

Hata sasa tukitolewa hatutakuwa na deni maana lengo letu limetimia kwa Mbuzi Pori kutokuchukua taji la mashindano haya.

Tunawatakia mabaya yote mashabiki wa Mbuzi Pori watakaokuwa wanahamia kwa Mbappe kimya kimya.

Imetolewa na Mashabiki nguli wa Messi na Argentina.
View attachment 3624185
Mkuu bado unaendeleza Violence
 
Proved Muulize comrade_kipepe tangu ameanza kuwachukia waarabu amepata faida gani??? Akiwachukia, akiwabagua na kuonyesha roho mbaya haiwapunguzii chochote,, kama ni hela wanazo, sasa ukiwasusia ama kuwachukia itakusaidia nini 😄😄

Mwanaume unaonyesha hisia kwa mwanaume mwenzio kweli!!!! hahaaaaa aibu gani hiyo!!!

Mwilage lolo mami
Umeamua kuiconvect to personal 😃😃😃
 
Back
Top Bottom