B Bush Dokta JF-Expert Member Apr 11, 2023 12,697 21,282 Feb 2, 2024 #81 Cannabis said: Nakusogezea video kabisa View attachment 2891832 Click to expand... Kwa hiyo jamaa alikuwa anamsema Mpango?
Cannabis said: Nakusogezea video kabisa View attachment 2891832 Click to expand... Kwa hiyo jamaa alikuwa anamsema Mpango?
LOTH HEMA JF-Expert Member Dec 6, 2015 13,655 18,613 Feb 2, 2024 #82 Atachukuaje fomu wakati rais samia hajamaliza mihula miwili kwa mujibu wa katiba ya chama chao?
LOTH HEMA JF-Expert Member Dec 6, 2015 13,655 18,613 Feb 2, 2024 #83 Labda achukue fomu ya ubunge, ya urais ni mpaka 2030 na atachuana na vigogo wengine wazito akina madelu na yule jamaa wa kipara
Labda achukue fomu ya ubunge, ya urais ni mpaka 2030 na atachuana na vigogo wengine wazito akina madelu na yule jamaa wa kipara
baro JF-Expert Member May 12, 2014 2,989 3,739 Feb 2, 2024 #84 Orketeemi said: Katiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja. Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani? Click to expand... Katiba ipi? Kama mnadai Katiba mpya hata ya Sasa hamuelewi Huwa mnalalamika nini?
Orketeemi said: Katiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja. Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani? Click to expand... Katiba ipi? Kama mnadai Katiba mpya hata ya Sasa hamuelewi Huwa mnalalamika nini?
Huihui2 JF-Expert Member Jan 5, 2012 5,380 8,107 Feb 3, 2024 #85 konyola said: Reez1 anahusika Click to expand... Wanadai ni Mzee Six (RIP)