2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

IMG-20250709-WA0011.jpg
 
Refa muhuni hajaongeza ata dakika maana kaona mtu mzima kasha dhalilika hapa
 
Hili litimu balaaaa jamani yaani wanacheza boli mpaka kibamia kinasisimuka.

Jamani tuache utani ulaya watu wanacheza mpira bwana.
Huku africa kelele nyingiiii hamna kitu
Nawakumbuka kina Amrabati nacheka sana 😃😃
 
Back
Top Bottom