2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Naunga mkono hoja.
Kina Mbappe, Neymar na wengine walishindwa kupata mafanikio nje ya France.
Sasa timu inaenda kuwa club bora duniani.
PSG walizingua ile project yao ya Neymar na Mbampe ingeworkout tu tatizo walipoanza kuwasajili akina Messi na Ramos hapo walijichanganya sana
 
Nilivyoona tu Madrid wanatawanyika hovyo bila mpangilio kama Mbuzi waliofunguliwa Bandani, basi nikajua Yale Yale ya Inter ndo yatatokea, Alonso kazi kubwa sana anayo, akitaka atoboe hakuna kucheka na kima, aina ya mpira anaoutaka inabidi awe mvumilivu.

By the way kama Kuna mtu anahisi Madrid kaonewa basi apeleke timu yake uwanjani.
 
Back
Top Bottom